Habari wanajamvi
Naombeni tujuzane juu ya uzuri wa course ya Information Technology (IT) ni vipi unaweza kujiajiri na pia kama utaajiriwa unafanya kazi wapi?
Karibuni[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni raia wa kawaida hapa kisarawe kwa Sasa naomba msaada wa kusoma kozi za muda mfupi kwa jiji la Dar es salaam,hivyo kama kuna mdau yeyote anayefahamu...
When playwright compose their work of art focusing on the social struggle, they always build courageous characters to face danger for well-being of their society. Justify this assertion with...
Natafuta Chuo cha computer kwa course ya IT, sijui chuo kipi kizuri maana nimeweka maximum ya kujiajiri kuliko kuajiriwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini za asubuhi ndg zangu,..leo nimekuja kwenu ili mnipe maarifa kuhusu namna ya kupata WAFADHILI ,wa kunifadhili masomo yangu ya Masters of science with education (physics ).hapa tanzania...
Wakuu,
Nina miaka karibia 10 ya utumishi kwenye sekta binafsi. Nimefanya kwenye makampuni na NGO's kadhaa hapa nchini na kikubwa ambacho ninakiona ni Watanzania kutojua haki zetu maofisini na...
Wana JF, natafuta shule nzuri ya English medium (Boarding school) zilizoko mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kwa ajili ya mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka 3 na mwakani atatimiza miaka 4...
Ni miaka kadhaa sasa tangu serikali iruhusu utoaji wa elimu ya juu kupitia vyuo binafsi.
Je, vyuo hivi vimeweza kutoa bidhaa inayotakiwa na mlaji sokoni kuliko vyuo vikuu vya umma?
Karibu kwa...
Kama ilivyo ada katika taalumu kama Law kuna shule ya sheria, uhasibu kuna NBAA nk. Lakini licha ya kufahamu kuwa ili mtu awe Profesa especially Tanzania ni lazima awe na Shahada ya Uzamivu yaani...
SJMC kwa wasiokijua ni Shule Kuu ya Uandishi wa Habari ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Shule hii zamani ilijulikana kama TSJ - Tanzania School of Journalism na baadae ilipopewa kwa UDSM ikaitwa...
Poleni sana vijana wenye ndoto za kutimiza kupitia elimu
Una vigezo vyote umekosa mkopo na pia umeappeal wamekunyima tena hii sio haki
Inawezekana vipi hili linatokea wakati watoto wa wakubwa na...
Habari wakuu? naomba kufahamishwa kuhusu bachelor of technology in laboratory science ya DIT, hasa wigo wake wa kupata ajira,na maeneo hasa yapi mtu uwezayo fanya kazi,
Asanteni.
Naomba msaada kujua majina ya vitabu vinavyotumika kufundisha literature in english msaada tafadhali. For more 0752925925. Karibuni wana jamvi
Sent using Jamii Forums mobile app
Alserkal Residency in Dubai is inviting applications for its Summer Cycle Programme for research-based and socially-engaged practices in 2020.
Alserkal Residency is a platform for artistic and...
Tafadhari naombeni kujua kama kuna MTU anayejua taasisi yeyote au kampuni yeyeto inayotoa Ufadhili wa kusoma diploma Anisaidie;nimechaguliwa Mara tatu sasa nashindwa kwenda tatizo ada.
Sent using...
Ndugu wanaJF,
Tafadhali naomba ambaye anaweza kunisaidia hizi selection za mkoa wa Dar wanao ingia form one mwaka 2020 zinapatikana wapi siku zinaaisha niko njia panda tafadhali.
Habarini wanaJF,
Mimi ni kijana ninayetarajia kuhitimu masomo yangu ya A level hapo Mei mwakani.
Nimejikita katika tahasusi ya PCM kwa kuwa ndio niliipenda sana.
Suala langu ni kwamba napata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.