Tupe uzoefu wako yalokukuta,sitosahau nilikuwa najibu maswali nanyoosha mkono napiga piga kama darasa la nne ili nionekane kichwa,sitosahau mimi ndio nilikuwa gwiji waku-install microsoft office...
DAAD in Germany is offering scholarships for DAAD PhD scholarship in Mathematics in Industry and Commerce (MIC) at the Technical University of Kaiserslautern in 2020.
The MIC programme was...
Eidgenössische Technische Hochschule Zürich University in Switzerland is inviting applications for the E4D Continuing Education PhD Scholarship Programme in 2020. The Engineering for Development...
Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Webo Metrics. Hivi ndio vyuo 10 bora hapa Tanzania kwa mwaka 2019. Mtazamo wako ni upi? Je unawaunga mkono au unawapinga?
===
ranking
World Rank
University...
Ndugu mwalimu wa sekondari hata wa msingi pia, nini uelewa na mtizamo wako juu ya competence based curriculum?
Tusaidie kujaza katika dodoso hili fupi ili tuboreshe elimu yetu zaidi...
Kwa wajuz zaidi na wenye uzoefu tusaidiane uandishi mzuri na yale makosa common ktk uandishi wa lesson plans, lesson development na scheme of work hasa kwa sekondari.
Ahsante
Mimi ni mwanafunzi nasoma Community Development ila hii course naona kama inanichanganya changanya kidogo maana sijaona kama soko lake la ajira bado lipo sana.
Kama halipo, vipi kuhusu kujiajiri...
Kama nilivyosema, wazazi kwa vile vijana wamemaliza kidato cha nne ni wakati wenu wazazi kujiandaa kwa karo kwa kijana wako atakapochaguliwa kuingia kidato cha tano.
Erasmus University Rotterdam in the Netherlands is currently accepting applications for PhD vacancies in Business and management for commencing in 2020.
ERIM’s full-time doctoral programme – the...
College of Agriculture
Department of Crop Science and Horticulture
The project on “Agroecology methodology on vegetable crops” invites qualified Tanzanians to apply for a four years PhD...
Naomba kujua kama Tanzania kuna kozi iitwayo Bachelor of Military History and Diplomacy. Inatolewa chuo gani? Pia wanachukua wanafunzi wenye sifa zipi?
Hellow wanajamii,
Nilitaka kupata msaada kuhusu anayejua kozi ya Information System and Management(ISM) iliyopo pale Ardhi University, na pia kuhusu teaching facilities.
Habari wana JF.
Ninahitaji kujua mbinu mnazotumia kuwasaidia watoto wenu kujisomea nyumbani. Mawazo yenu yatanipa mwanga juu ya njia za kuwasaidia watoto wangu maana nahisi wanahitaji msaada wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.