Jamani naomba mnaojua mnisaidie,
Mimi nimechaguliwa sokoine university of agriculture bachelor ya animal science, nyumbani kwetu hawana uwezo wa kunilipia tuition fee, nilikuwa nategemea sana...
Nimeona jana kwenye habari kiongozi wa HESLB akisema tayari ametoa mikopo kwa wanafunzi zaid ya 45 elfu, na kundi lililobakia kupewa ni dogo sana hasa kwa wale ambao ndiyo wanafanya marekebisho ya...
Nichukue fursa hii adhimu kabisa kuwapongezeni watu wazima ambao ni Watendaji wa Bodi ya Mikopo nchini ( HESLB ) kwa kuweza kupoteza muda wenu mwingi, kujadiliana, kuchanganya fikra zenu hadi...
Kuna sintofahamu ( taharuki) kwa wanafunzi wanaondelea (continues) baada ya Bodi ya Mikopo kupunguza kiasi cha malipo au mikopo katika ada na huduma nyinginezo ukiacha ile chakula na malazi...
Hello JF,
Muundo wa A-level nilikuwa naona uweze kufanya link from lower secondary to university. Namaanisha masomo ya A-level yawe kama msingi wa masomo ya university.
I understand kuna masomo...
Habari wakuu ,
ningependa kuuliza ubora wa kozi tajwa hapo juuupoje? Je, wanaosoma kozi tajwa hapo juu katika Chuo Kikuu Huria vipi kuhusu kujiajiri au kuajiriwa? Na pia katika ufundishaji...
Habari wakuu,
Kuna watoto waliomba course ya Forensic Science (Diploma) ambayo kwa mujibu wa Prospectus ya hapo UDOM ni miaka miwili.
Sasa vijana hadi leo hawana ajira. UDOM hili linawahusu na...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt Aneth Komba amewaelekeza waandishi binafsi wa machapisho mbalimbali yenye lengo la kutumika shuleni katika ngazi ya elimu ya awali, msingi na...
Rasmi sasa wale WAHITIMU wa foundation program open university sasa wanaweza kuomba bachelor SAUT MBEYA
Ni koz mbili tu utakazoruhusiwa kuomba kupitia sifa za foundation
Kozi hizo ni BAED na...
Habari wana jamii nauliza ni shule ipi bora na nzuri kwa mtoto wa kike aliemaliza darasa la saba?
Ambayo ina ufaulu mzuri na yenye gharama nafuu na ni ya bweni?
Msaada kwa anaejua.
Habari wakubwa,
Kuna suala linasemekana linaendelea vyuoni hivi sasa. Ada au mkopo kwa wanafunzi umepunguzwa kwa kiwango fulani. Mfano, kama ulikuwa na 100% basi utakuta 70% au chini ya hapo...
Mimi ni Mwl, mwaka Jana nilisimamia mtihani drs la nne. Baada ya semina mkurugenzi alitulipa elfu 35, akasema tudai elfu kumi. Baada ya hapo tukapangiwa shule za kusimamia. Tulitakiwa...
Wakuuu habarini! Naomba msaada wenu juzi niliomba Verification awards Nacte wakanitumia Email kuwa itatumwa but up to this moment sijaona kitu. Naimbeni msaaada nifanye nini?
Wengi wao wamebaki kusikitika na kujuta malengo yao yameyeyuka kama mshumaa.
Wapo waliotegemea kuja kuwa Madaktari, Injinia lakini wamejikuta wameangukia katika Ualimu na fani nyingine. Elimu ya...
Wale wote tuliosomaga kozi ya Community Health iliyoanzishwa mwaka 2015 tukutane tupeane taarifa mbalimbali kuhusiana na hii kozi mana tangu ianzishwe had sasa hivi ni kimya.
Kuna sintofahamu...
Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa nimemaliza darasa la saba nilipangiwa katika moja ya shule kongwe za sekondari (bweni) hapa nchini iliyopo mkoani Kilimanjaro, ilikuwa ni boys tupu...
Wakuu nauliza tu maana nasikia sikia tu kwa sisi wahanga kuwa wanaweza kuachia wiki hii.
Je, kuna ukweli wa tetesi hizi na je kwa msimu wa mwaka jana walitoa tarehe ngapi?
Habari za humu wanajukwaa?
Nina rafiki yangu ni mwajiriwa Halmashauri fulani hapa Tanzania. Ana mke wake ambaye pia na yeye ni mwajiriwa Halmashauri hiyo hiyo ila hawajafunga ndoa (hawana cheti...
Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne umeanza kufanyika leo nchi nzima huku kukiwa na jumla ya watahiniwa 485,866 waliosajiliwa kufanya mtihani huo kwa mwaka 2019 na kati yao wa shule ni 433,052 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.