Habari Wana ndugu zangu
Matumian yangu ni wazima wa afya Tele na mna Endelea vema katika kusukuma gurudum la maisha hasa katika wakati huu wa Tanzania Mpya ya viwanda
Mimi nikija a ambae...
Kwa kuwa nyinyi ndio viongozi ambao mmebaki angalau mkisema mnasikika, basi tunaomba muongelee suala la mikopo ya elimu ya juu.
Mpaka sasa haijulikani hatima ya wanafunzi wanaotakiwa kupata...
Nilijitahidi sana Diploma nikapata ka GPA kangu kidogo kazuri. Ila wazazi wakulima wa kubangaiza sana. Sasa ndoto ni kuwa daktari lakini huwezi kuamini nimekosa mkopo.
Sasa sina namna na...
Tarehe 4 Novemba ndipo muhula unaanza na hata hivyo inasikitisha kuona kwamba hamjatoa matokeo. Na kibaya zaidi hamtoi taarifa yoyote.
Napenda kuuliza sasa ni lini mtatoa matokeo hayo?
Kuna...
Binafsi sikuwa na maandalizi mengine yoyote ya kupata tuition fees nilikuwa nategemea Bodi ya Mikopo tu. Nimejitahidi kutafuta direct cost nimepata kwa tabu sana. Sasa Bodi ya Mikopo wametoa...
Wakuu heshima yenu,
Hivi iwapo uliomba Diploma kwa kuhofia ushindani na ukachaguliwa, je ukifika chuo unaweza kubadili kwenda Degree? Kama inawezekana unafuata njia/ taratibu zipi? Vigezo vyote...
Kwa yeyote aliyechaguliwa na anaenda College of African Wildlife Mweka naomba anicheki hapa tuyajenge masuala muhimu maana hata mimi naenda pale.
Hata kama upo chuo tayari mwaka wa kwanza au wa...
Nawasalimu wakubwa kwa wadogo.
Naandika kwa uchungu sana wakuu, kwanini maisha yamekuwa mateso kwangu hivi au nina mikosi na laana?
Mimi ni kijana wa miaka 22, jinsia Me.
Kitu ambacho...
Jamani kwa anaejua labda, kama kuna Third Batch ya mikopo kutoka HESLB maana naona hakuna taarifa yoyote.
Kama unajua lolote naomba tujuzane inatoka lini?
Habarini wadau poleni na majukumu ya kitaifa na kifamilia.
Kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza,lengo la uzi huu ni kutengeneza mazingira rafiki kwa wale wote waliochaguliwa kujiunga na...
[emoji1318]
Wakuu,
Nasema hivi:
Form 4 wote Nchi hii wavune walichokipanda. Kuwatakia wote wafaulu vizuri wakati jitihada zilitofautiana ni unyonyaji!!!
Nasisitiza,
kila mmoja avune...
Samahani wakuu,
Mimi ni mwanafunzi wa Clinical Medicine nipo mwaka wa kwanza nilikuwa nauliza lecture zipi ni nzuri kwa topic za anatomy na microbiology kwa YouTube maana mwalimu anayetundisha...
Elimu ya Tanzania ina matatizo mengi sana kuanzia msingi hadi kwenye taasisi za kudhibiti ubora wa taaluma au professional bodies kama ERB, NBAA, PSPTB, nk haziko kwa ajili ya kuwasaidia wahitimu...
Nilikuwa nawaona wanavyokuja wameyabeba, hata wao wenyewe wanaona aibu wakifika kwenye wanafunzi wengi ile siku ya kuripoti, anatamani hata alifiche tranka lake, ila sema tu haiwezekani.
Wengi...
Msaada tutani: Kwa wale ambao ni Programmers, naomba msaada wa kufupisha hii program kwenye DOS
Notes:
1.The abbreviation DOS_COMMAND stands for any DOS command like copy, mkdir, etc.
2.The...
Habari,
Just as the heading speaks, mfano press release ya TCU kuwa mwaka huu 2019/2020, waliochaguliwa kusoma shahada ya kwanza vyuo vyote ni wangapi?
Karibuni
Wakuu habari za jioni, natumai wazima wa afya.
Jamani naomba kufahamu karo au ada ya uwalimu wa chekechea ni kiasi gani? Na je vyuo gani ambavyo vinatoa hiyo kozi ya ualimu wa chekechea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.