First Year muliokuwa leo UDOM (College of Education) tupeane kampani ya kwenda kula ujasi basi usiku huu na tupige story mbili tatu.
Mimi nipo hapa College of Education nahitaji kampani...
Habari!
Nina imani kuwa wote humu ndani ni wazima wa afya. Leo ningependa kujumuika na nyinyi ndugu zangu kujadili aina za wanachuo ambao kwa asilimia kubwa hawamalizagi chuo.
Ni tumaini langu...
Ndugu wana JF,
Nimeomba mkopo elimu ya juu mwaka wa pili ila nimekosa.
Na nilisoma private advanced level. Je? kuna msaada ambao naweza upata ili nipate mkopo?
Kama utakuwepo naomba msaada namba...
Naamini muwazima wa afya, awali ya yote niwapongeze wote mliobahatika kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Hiyo ni haki yenu kwani vigezo na sifa za kupata...
Kama kichwa kinavyojieleza!
Mimi nikiwa mhitimu wa fani ya Uhandisi wa Mitambo (Mechanical Engineering) katika moja ya vyuo hapa nchini, nimeamua kujikita katika tasnia hiyo ya ufundi magari ili...
Jamani naomba kufahamu kwa wajuzi, waliowahi kudisco chuo halafu wakaja kuomba chuo kingine baada ya miaka mi3 kupita then wakalipa 25% wanayodaiwa, halafu wakaomba tena mkopo je huwa wanapata...
Wakuu salamu, bodi ya mikopo tayari imetoa majina ya waliopata mkopo awamu ya pili leo ijumaa tarehe 25/10/2019, ili kuona jina lako kama umepata mkopo nenda kwenye akaunti yako uliyoitumia...
Habar waungwana naomba kujua kwa yeyeote mwenye experience na hii ishu ,swali langu ni kwamba asilimia ambazo mwanafunzi anapewa akiwa mwaka wa 1 zinaweza kubadilika akiingia mwaka wa 2? Mfano mtu...
Hope mko poa wakuu.
Mie mdogo wenu nimekuja kuomba ushauri issue iko hivi...
Mwaka 2017 nimehitimu Diploma yangu Chuo cha Mbeya, mwaka huo huo nikaunga Digrii katika Chuo cha DIT ambapo soon...
Habari wana JF! Katika soma soma yangu nimepata kuona katika vitabu vya dini kuwa maji matamu na maji ya bahari hayachanganyiki. Pia Kila mara nikielekea Zanzibar kwa boti nifikapo Msasani lazima...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza orodha ya majina ya Wadaiwa Sugu ambao wamehitimu katika Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu kuanzia mwaka wa masomo 1994/1995.
Wasugu hao...
Hatua gani unaweza kuchukua endapo umekosa mkopo na muda wa kwenda chuo umefika?
1) Kuendelea kutolipa ada na kuendelea kusubiria mkopo ukiwa chuo.
Katika experience yangu niliyopitia niliona...
Kozi hii inatolewa chuo kikuu huria cha Tanzania (OUT)
Sasa basi, kama wewe ni mdau wa kozi hii na unapata changamto katika usomaji wako, nitafute nikupe mwongozo mzuri. Hii ni kwa wale walioko...
Wakuu poleni na mihangaiko.samahani waungwana nimekua nikipata shida sana kutokana na hili neno post grafuate.hivi hii Ni ngazi gani ya elimu? Yani ina maana gani?
Jamani kwema mazee mambo Shwari? Maulidi vipi? Eebwanae Mimi Nina maswali kadhaa kuhusu hawa wadogo zetu waliomaliza std seven mwaka huu, je wameanza kupangiwa shule za kwenda mwakani? Na kama...
Kijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi...
Wakuu habari zenu ni matumaini yangu wazima wote naombeni ushauri wenu kulingana na soko la ajira Tanzania nimechaguliwa kusoma diploma in computer engineering science kati ya course tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.