Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mimi ni mtanzania, ninayesomea hapa India kwa ufadhili wa ICCR! SIFICHI huu ufadhili ni mzuri. Tatizo chuo nilichopo hapa na hasa idra niliyopo haina walimu kabisa kiasi kwamba wanafunzi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mdogo wangu alidahilwai chuo hiki kwa kozi ya Usimamizi wa Wanyamapori, binafsi nilipenda mdogo wangu awe huru juu ya kile ambacho angependa kusomea, ila sikuwahi kuwa na habari nyingi kuhusu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mama yangu mdogo ni mwalimu amechaguliwa chuo cha ADEM tawi la Mbeya kujiendeleza Kozi ya DEMA. Ningependa kujua A-Z kadri ya uelewa wako juu ya Chuo hiki hasa mahali kilipo hapo Mbeya, Hosteli...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za huku Jamani eti pdf reader gani nzur kwa simu ambayo ina option ya kusearch majina kwa urahisi ya kwenye pdf format? Yaani natumia wps hapa haina option ya kusearch mfano majina kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
What are the most popular Universities in Tanzania? uniRank tries to answer this question by publishing the 2020 Tanzanian University Ranking of 32 Tanzanian higher-education institutions meeting...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Naombeni mnishauri wadau na vituo vya kurudia
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Nimesoma tangazo la NBAA kuhusu fees wanazotakiwa kucharge Auditing firms wanapofanya kazi kwa Mteja wao. Ambacho sijakielewa ni Rank za External Auditor kama ifuatavyo. 1.Partner 2.Senior...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nahitaji gari aina ya rav4
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa waliosomea CBG ni kozi gani nzuri kwa sasa ya kusomea, najua hali inaweza kubadilika wakati wowote ila ni vyema mngetueleza kama ungemaliza CBG ni kozi gani ungeisomea kwa sasa.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu!, mimi ni muathirika wa ddnt secure 4 loan allocation for this academic season, najua wanajamvi humu ndani mpo mlioexist miaka mi3 bila loan, nnaomba mchango wenu ktk hili...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Naona bado hawaja release ingawa walisema kabla ya tarehe 25 sasa wakuu mwenye tetesi kuhusu ni lini watatoa atujuze. Asanteni wakuu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi kuna tatizo gani kati ya hivi vyama viwili? Nauliza serikali kwa sababu watumishi hasa waalimu tuliojiunga na CHAKAMWATA tumekua tukikatwa na vyama vyote viwili isitoshe C. W. T imekua...
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Habari kama kuna member yoyote aliyesoma hii kozi kuna kijana anaomba ushauri anataka kuapply pale DIT, au hata kama unamjua aliyesoma ,je ni kozi yenye future nzuri?
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Kama umesoma forodhani una kumbukumbu gani ya mwalimu Mwalubandu na Ng’ong’o
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Habari wanaJF; Naomba ushauri, nimemaliza kidato cha sita 2015 ila sikwenda chuo. Sasa nahitaji kuapply mwaka huu. Napenda sana biashara, ni kozi gani nzuri ya kwenda kusoma? Nawasilisha.
0 Reactions
33 Replies
27K Views
Ajabu LA 9 la Dunia. Degree programme moja (LLB), nchi moja, wote wanakutana Law school moja ila baadhi LLB ni miaka 4 (UDSM) vyuo vikuu vingine 3 years? Msaada hapa Ili tuweze kwenda sawa
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Hivi ni kweli udogo wa mishahara na ufinyu wa ajira kwa walimu wa sanaa (arts), ndizo sababu pekee hupelekea Watu kuibeza na kuichukulia poa taaluma ya ualimu? Au kuna sababu nyingine nyuma ya...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu habari ya asubuhi poleni kwa majukumu. Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,mdogo wangu niliyekuwa namuombea mkopo amekumbwa na dhoruba hiyo hapo juu.. Alisherekea na wazazi walikuwa na...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa matokeo haya ya form 4 huyu bwana mdogo anaweza kufiti wapi?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu naomba kwa yeyote aliye na kitabu au Pamplet lenye muunganiko wa Notes zote za advanced Mathematics kwa pamoja anisaidie hata kama anauza ntanunua! Au aniPM
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom