Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu,nilikua nauliza Kama kuna continous students waliokuwa wameomba mkopo mwaka huu na wamefanikiwa kupata katika batch ya kwanza?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada jaman naombeni kujua nifa zipi za kujiunga diploma Mimi nina cheti cha airfare cha short course je naweza kuapply diploma za IT,EDUCATIONA& ACCOUNTING?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, nna mpango wa kwenda kupiga clinical medicine kwenye chuotajwa hapo juu, hivyo kwa mwenye kukifahamu hiko chuo in aspects of quality training, nacte registration e.tc. anijuze...
0 Reactions
25 Replies
19K Views
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amempa siku 14 Kamishna wa Elimu na wataalamu wake kumpa mrejesho wa maagizo aliyotoa Julai mwaka huu, kuhusu kurekebisha Waraka wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hapo kwenye maandishi mekundu ina maana kwa wanachuo wote au wanaotoka nje ya nchi
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi ambako mikoa ya kanda ya ziwa imeonekana kuongoza kwa kushika nafasi zote...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
Nimetafakari sana, Wenzetu Kenya walishaacha kutangaza shule hii imekuwa ya kwanza shule hii imekuwa ya mwisho. Nafikiri hizi takwimu zibaki kwa ajili ya wizara tu ili kuweza kurahisisha...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu,nimechaguliwa diploma in mining engineering katika chuo cha madini Dodoma,naomba kujua mwenye uelewa wowote kuhusu 1.source nzuri za materials 2.njia nzuri za kutumia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akaunti yangu HESLB inaandika madudu haya wazoefu naombeni mnijuze kama kuna matarajio au hamna mana nimechanganyikiwa kabisa
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Mimi ni kijana mdogo kabisa, lakini kuna tatizo lina ni sumbua sana na si lingine bali uwezo mdogo wa kudadavua mambo, kama siasa, uchumi, michezo na mengineyo. Huwa natamani sana kuwa...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Hey wadau naomba kujua matokeo ya waliochaguliwa wakati wa maombi round 4, maana TCU walisema tarehe 10-10-2019 ambayo ndio leo majina yatatangazwa na wale watakaokuwa na multiple admisssion...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna aliefanikiwa kuona allocation yake kwa waliopata first batch?
0 Reactions
5 Replies
958 Views
Habari wana jf mm nimechaguliwa udsm kozi ya bachelor of education in educational psychology sasa ningependa kutambua hii kozi inatofautiana vp na koz zingine za elimu kama Baed ,bed n.k ,msaada plz
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za humu wana jamii forum,samahn kulingana na kichwa cha habari tajwa hapo juu naomba ushauri wenu kati ya hizi course mbili ni ipi ni nzuri zaid kwa upande wa Ajira
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani. Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Najifunza kwa vitendo Salamu Kwenu ndugu zangu Rafiki yangu ni mfanyakazi wa hoteli barista & barman Miaka 29 muda wake wa kazi ni kati ya saa8 kila siku ila ana off day moja. Ila anahitaji...
0 Reactions
9 Replies
893 Views
Wakuu kwa anaejua tarehe rasmi ya kuripoti chuoni kwa wale wa mwaka wa kwanza pale UDOM atujuze maana kuna fununu fununu nyingi mwishowe tunapotea Msaada tafadhari
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Hello wanajukwaa, Naomba kuuliza , hivi inawezekana kuripoti chuo bila kulipa direct cost kama vile za hostel,afya,capitation fee nk. na kusubiria mkopo ili kuzilipa kupitia mkopo. Mkopo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajamvi mimi ni muhitimu wa chuo kikuu, nimemaliza masomo yangu ya degree ya kwanza mwaka huu 2019.Nilikuwa nasoma ualimu na kufanikiwa kupata GPA ya 4.2 (Teaching subjects ni...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Back
Top Bottom