Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa muda mrefu tumekuwa na hili tatizo la mimba kwa wanafunzi, wa shule za msingi na sekondari. Naiona nia ya taifa katika namna za kutaka kutokomeza tatizo hili, lakini suluhu tunazotumia...
0 Reactions
2 Replies
881 Views
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa mdau mwenye degree ya ualimu ( science) anaweza kutumia cheti cha fomu four au six kusoma diploma ya uhasibu?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Mwenye swali kuhusu Ardhi Institute Morogoro asiache kuuliza hapa nitamjibu kadri nitakavyoweza. Ahsanteni, karibu Ardhi Institute Morogoro mkapate ujuzi kwa vitendo. N.B mimi...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni maeneo(idara) yapi mazuri mtu aliesoma PSPA anaweza kufanya mafunzo kwa vitendo(Field)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye taarifa juu ya hii loan board kuhusu kutoa majina ya wanufaika wa mikopo mwaka
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumaini wanajamvi mu- wazima wa afya mkiendelea na majukumu ya hapa na pale , Mungu wetu ashukuliwe na awe nanyi katika kila hatua mnayopitia. Kutokana na stendi ya jijj la Dodoma kuhamishwa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu:hivi inakuwaje kwenye akaunti ya udahili wanakupongeza kabisa kuwa umechaguliwa chuo,Halafu ukiangalia kwenye list ya chuo hauoni jina.hii ina madhara yoyote,msaada wakuu
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naombeni msaada wana Jamvi ipi ni sehemu sahihi kati ya hizo mbili? Asanteni nawasilisha kwenu.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
NECTA imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2019 na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78. Waliofaulu ni asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369. Pia Watahiniwa 909 wamefutiwa matokeo kwa...
9 Reactions
130 Replies
31K Views
Jamani eti majina ya 2nd round vyuoni yametoka? ================================== YAMEANZA KUTOKA CHEK HAYA>>Muslim University of Morogoro Tayari wameachia majina haya>Muslim University Of...
2 Reactions
220 Replies
31K Views
Muda wa kudahili upoje yani dead line
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Nawasalimu Ndugu zangu Mtoto wa dada yangu ana ufaulu wa wastani wa D Je atachaguliwa au tuanze kufanya utaratibu mwingine mapema
0 Reactions
7 Replies
792 Views
Mwalim wa shule ya msingi yupo Tanga jiji anahitaji kuhamia Mwanza Jiji njoo PM kwa maelezo zaidi
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Mwenye link la group la First Year 2019/20 atusaidie!!
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Kuhusu admission letter kuna aliechaguliwa Diploma UDOM na amepata admission letter mbona kila nikiangalia kwa profile ya dogo hamna chochote na muda unasonga maana nasikia Degree zishatoka. Isije...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari wadau, Matokeo ya darasa la saba tayari. Hongera kwa waliofuzu. Kwa wale ambao mambo hayakuenda yalivyotarajiwa, hamna haja ya kukata tamaa. Kuna njia nyingi tu za kumuua panya... Bila ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za majukumu? Naomba niwe specific, ni kwamba kama kuna mwalimu anaetaka au kupenda kufundisha mkoani Tabora (Milambo), na hivi sasa yupo Mwanza. Nadhani hii itakuwa ni fursa kwake na kwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za siku wana Jf nina ndugu yangu aliconfirm Makumira ila anapenda kusoma UDSM na ada halipiwi na HESLB Bali kuna shirika la kimarekan litamsomesha je akienda kuripoti UDSM itamletea madhara...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wana JF, Nina swali ambalo watu wengi wananiuliza, kwamba je kwa wenye average ya D kwenye matokeo ya darasa la saba, wanaenda Form 1?? Naombeni msaada
1 Reactions
36 Replies
30K Views
Namkumbuka kiongozi wa bush runners(BISO) katika shule ya sekondari Buswelu iliyopo Mwanza alivyokuwa akitesa watu. Waalimu, Viranja na wanafunzi walikuwa wanamuogopa sana alikuwa akiitwa Bob...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Back
Top Bottom