Msaada tafadhali wakuu,Nina cheti cha airfare&ticketing with tour guiding operation naweza kuapply diploma za IT,EDUCATION na ACCOUNTING? au ni course zipi naweza kuapply?
Habari wakuu,
Naomba ushauri wenu jinsi ya kusoma na kufaulu vema.
Nina ndoto za kusoma MD Muhimbili na najua competition ni kubwa sana na masom ni heavy hivyo nawaombeni ushauri plz
Kwenye tangazo lao la Admission into non-degree programmes (First Round) la Jumatatu tarehe 2 September 2019 UDOM waliandika “All admitted students into different study programmes will receive...
Jamani nina maswali matatu ningependa kujua kwa yeyote mwenye uelewa
1. Nataka kujua fees amabazo natakiwa kulipa kwa ujumla ili kufanya mitihani ya bodi ya psptb(procurement board)
2...
Habari wakuu nimechaguliwa kwenda kusoma BSc ya COMPUTER SCIENCE lakini nimekuwa nikisikia sikia kwamba kozi hii huwa ni ngumu.
Sasa naombeni wakuu mnisaidie ni ugumu gani upo kwenye kozi hii na...
Wakuu habari zenu,
Kwa wale wataalam wa mambo naomba msada wenu hivi kati ya hizi postgraduate course ipi nzuri ya kusoma naplan nianze mastarz next year.
1. Msc in Finance & big data analytics...
Ndugu zangu nauliza kama matokeo ya wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya afya vya serikali mwaka huu 2019 kama yalishatoka. Kama yalishatoka nayapata wapi?
TCU walitangaza kuwa tarehe 10 ni siku ya vyuo kutangaza majina ya waliowadahili katika awamu hii ya nne cha ajabu hadi muda huu akuna chuo kilichotoa majina wanajf akuna anayejua sababu? mimi...
Habari za asubuhi wajumbe, ninaleta kwenu link ya group la WhatsApp la walimu wa Biology, mnakaribishwa nyote, kuna mijadala, notes za vidato vyote na mitihani ya MOCK & Pre Necta.
Link...
Msaada jaman naombeni kujua nifa zipi za kujiunga diploma Mimi nina cheti cha airfare cha short course je naweza kuapply diploma za IT, EDUCATION & ACCOUNTING?
Naomba kujua,
1. Chuo hiki campus yake iko wapi?
2. Kinachukua watu wa aina gani....
3. Day or boarding
4. Mwanafunzi raia taratibu za jeshi zinam- bind kwa kiasi gani
Hivi hakuna special color code za kila mtandao wa simu? Upande wa minara yote nguzo zake naona rangi nyekundu na nyeupe. Nitajuaje kama ni mnara wa tigo, airtel au vodacom?
Habari
Naombeni msaada kwa yeyote anayejua utaratibu au anaweza nisaidia kupata nafasi chuo cha Mirembe Dodoma kwa kozi ya nursing ukilinganisha na muda kama umekwenda.
Asante
0767833496
0622111186
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.