Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naanza kwa kukupongeza kwa nafasi hiyo. Ni dhahiri kuwa hizi ni course ambazo hazina ushindani mkubwa kwenye chuo hiki na huwa hazibebi wanafunzi wengi. Hii imaweza kuwa ni kutokana na soko la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hello JF, nimeona mahali, statistics shows that those who finish/complete secondary education are 30% only. staggering 70% are in the dark. Sijui mna mawazo gani wanajamii kuhusu hili ….? Nini...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu habari ninaomba ushauri nimemaliza form six Nina div 2 ya 10 cbg nimepangiwa bsc in agribusiness ninataka nikabadilishe hio kozi nikasome Agriculture general au agronomy naomba ushauri wenu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari za saa, Naomba kupata taarifa kuhusu hivi vyuo hasa kwenye course ya Business Administration. *Mazingira ya vyuo hivi na Fursa zilizopo katika vyuo hivi. *Gharama za maisha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari kama heading ilivo hapo kumekuwa na sintofahamu kadhaa kwa wanafunzi wa udom kuhusu michango kupanda kila siku, Hostels za chuo kuwa na vyoo vibovu, maji kukatika kwa mda mrefu, Gharama za...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
hvi hki chuo mazingira yake yapoje
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Allah Akbar!Allah Akbar!Allah Akbar!
0 Reactions
33 Replies
17K Views
Wadau za asubuhi? Tuliosoma Old moshi secondary tuje hapa tu share ideas, karibuni
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarin za wakat huu wana Jf Kama una ndgu yako anatarajia kujiunga na Muhimbil University bac ningependa kuwaqumbuxha yafuatayo: 1) Ondoa dhana ya kwmba chuo bata, kwa muhas utaxoma...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu nawasalimu nyote, nimesoma microfinance management cheti na diploma nataka nijiunge degree na course nyingine inayoendana na hiyo ili nisiwe nje Sana, au niendelee na hiyo hiyo. Je ajira...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo? Nimechaguliwa kujiunga na chuo hiki kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ngazi ya diploma.Mwenye kujua chochote kuhusu chuo hiki kuhusu maswala ya hostel,ulipaji wa ada na kadhalika...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za Asubuhi wakubwa zangu mwenyezi mungu ametupa ahueni tena na tunaendelea na majukumu yetu ya Kila siku. awali ya yote mimi Ni mwanafunzi niliechaguliwa kusoma hapo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita ila sina uelewa wowote kwenye kozi mana hatukupewa elimu yoyote kuhusu kozi, Sasa nimechaguliwa UDSM -Bsc.Busness information tech, ila sielewi hii kozi badae...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba ushauri,nimeomba kusoma Open university kwa Falculty tajwa hapo juu,,wao wanataka 4 passed Sifa zangu : History:C Civics:C Kiswahili:D English:D Gekgraph:D Basic Math:F Biology:F...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wajumvi wa jukwaa hili naomba msaada wa mawaidha kuhusu koz ya information managent,nins ndugu yangu kachaguliwa kozi hiyo round ya pili chuo cha tumain campus ya dar es salaam naomba msaada wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salama wana JF, Napenda kushiriki nanyi kimawazo kuhusu ufanikishaji wa uendeshaji wa hii elimu bure. Katika ukweli ulio wazi, ukijaribu kupiga hesabu Utakuta kwamba stahiki za walimu yaan...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
IPi ina wigo mpana katika kuajiriwa na kujiajiri?? Pia naombeni ushauri nisome IPI kati ya hizo kozi pale chuo cha ushirika moshi(MoCU)
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari za humu ndani wana jamii forum,samahan Nina shida kila nikijaribu kufatilia round ya nne aridhi sipati link,vip walitoa round ya nne wao
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za Leo wana jamii forum,samahani naombeni ushauri wa hiyo course tajwa hapo juu kwa upande wa mazingira ya kazi na ajira zake,samahn matus nadhan hayajenga naombeni ushauri
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom