Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nilihitmu kidato cha nne mwaka jana na nikapangiwa shule ya Sekondari Sadan lkn sikuweza kwenda kutokana na matatizo ya kiafya. Nimewapigia simu wamenambia naweza kwenda. Naombeni ushauri niende...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtu aliyesoma hgk anaweza kusomea law?
0 Reactions
6 Replies
703 Views
Iv aliyesoma hgk anaweza kusoma law?
0 Reactions
7 Replies
819 Views
Iv aliyesoma hgk anaanaweza kusoma sheria
0 Reactions
3 Replies
718 Views
naomba kupewa vigezo vya kujiunga na diploma ya ualimu kwa waliomaliza form six mwaka 2014. maana mimi nina iv pia nina C ya chemistry, nina alama D ya physics na nina alama D ya mathematics...
0 Reactions
3 Replies
611 Views
Iv aliyesoma hgk anaweza kusoma law?
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Chuo Kikuu "Huria" cha Tanzania leo kimetangaza kurejeshwa kwa Foundation Program ambayo awali ilisimamishwa na serikali. Kwa hiyo njia nyingine ya kwenda vyuo vikuu imefunguliwa tena ingawapo...
5 Reactions
48 Replies
16K Views
Ukizungumzia vyuo vikuu tz, utakutana na wanaosema kuwa udsm, mzumbe n.k ndo vyuo bora zaid huku Open university wakiponda vby..lkn ukiangalia ranking unakuta open inaizidi mzumbe..tatzo ni nn
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msaada jinsi ya kulog in loan board Mana kula nikifungua nafika hatua hii alafu Sion pakuendelea ili niweze ku log in
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hey, msaada.. kozi za online udemy huwa wanatoa vyeti..!?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau niaje, hivi kozi za online kama udemy huwa wanatoa cheti..?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuuliza hivi kama o'level hukusoma masomo ya science(math,phy,chem) naweza kufanya mtihani kwa masomo hayo kama resiters?!!
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Habari wakuu. Nimepita sehemu nikakuta jamaa wametengeneza mfumo ambao maji yote ya bafuni na jikoni yameelekezwa kwenye shamba la migomba na imestawi vizuri tu. Swali langu ni kuwa je maji ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Huu apa wakubwa
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kusubiri kwa hamu mambo yamekuwa magumu. UDOM na SUA ndio nimeona wametuwekea ni program gani zina nafasi na nafasi ngapi, Wengine hadi sasa hawajaweka kitu na wengine wametaja program tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CORRECTIONS OF NECESSARY INFORMATION IN LOAN APPLICATIONS During the exercise of processing 2019/2020 loan application forms, the Board has come across loan applications which are missing some...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
•Usichague chuo kwa ajili ya jina(Big name). Chagua chuo kulingana na ubora wa program unayotaka kusoma. •Usichague program kwa ajili ya mshahara mkubwa itakugharimu, soma kitu unachopenda ili...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hatuwezi pata wataalamu wa hovyo kisa wote tusome PCB&PCM binafsi naona kila mtu asome anachopenda tunahitaji wataalamu wa kila aina!! Kumbuka Tatizo la Ajira halijaanzia tu TZ.. hili Pengine n...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu mwalimu na mwanafunzi , sasa unaweza kupima uelewa wako au uelewa wa wanafunzi wako kwa topic uliojifunza au uliyofundisha kwa urahisi zaidi kupitia maswali mbalimbali yaliyokusanywa kwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau nisaidieni! Nahitaji kuverify cheti changu cha masters niliyoipata nje ya nchi mwenye uzoefu na procedures nijuze maana niko Mbeya, mbali na ofisi za TCU. Niliwapigia TCU wakaniambia...
2 Reactions
8 Replies
12K Views
Back
Top Bottom