Habari Ndugu..
Kama Umechaguliwa Chuo kikuu Cha Dodoma Mwaka huu
...
Tuma text whatsapp kwenye namba Hyo hapo Chini Ili uungwe kwenye Group za UDOM... na uweze kupata Information Mbali mbali...
Habari?
Naomba anaeifahamu kozi hii vizuri anieleweshe juu ya soko lake, usomaji wake na pia je namna gani inaweza kuwa msaada kama mtu alieisomea akikosa ajira ni hayo tu kwa uchache
Msaada tafadhali Nina short course ya cheti cha AIRFAIR & TICKETING WITH TOUR GUIDING OPERATION.
Je, course ipi naweza ku-apply diploma Kati ya IT, ICT, EDUCATION NA ACCOUNTING au kama kuna...
Msaada naomba kuuliza Nina cheti cha short course ya Airfare & Ticketing with Tour Guiding Operation. Je, naweza ku-apply diploma ya IT, Educational na Accounting?
1. Kisiwe "cha shule".
2. Kisiwe kwa namna yoyote kinalazimika kununuliwa.
Mimi kitabu nikumbukacho kukinunua hivi karibuni ni Do It Scared. Nilikinunua kama ebook.
Kitabu ambacho karibuni...
Habari za majukumu wakuu? Naomba kuuliza km nacte wameshatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na course mbalimbali za astashahada na stashahada kwa awamu ya pili.asanteni[emoji120]
Habar wakuu,samahani naomba mwenye maelezo ya kujua chuo cha Tosamaganga ni chuo cha namna gani,mtoto akisoma hapo mazingira yake yako vizur?maarifa wanatoa vizur?hakuna ubabaishaji? Upande wa...
Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mahali mlipoyahifadhi matokeo haya bila mafanikio.
Ni kwa nini hayapo? Hata kule Maktaba ya Tetea pia hayapo. Nijulisheni tafadhali.
Habar za leo wanafamilia wenzangu,
Tangu utotoni nilikuwa na ndoto ya kuwa Doctor wa kutibu binadamu na ikitokea wazo hilo limeshindkana basi nijiunge na chuo cha udereva wa magari ya mizigo (huo...
Habari JF,
Baada ya bodi ya mikopo kutoa orodha ya majina kwa watu ambao fomu zao zina makosa, na wakadai watatoa mwongozo wa namna ya kufanya, sijui watatoa lini?
Ombi kwenu, huo mwongozo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.