Kuchapa fimbo ni aina ya motisha (reinforcement) iliyoko kwenye kundi la negative reinforcement (punishment au adhabu). Kutumia fimbo shuleni ni matokeo ya mtaalam mmoja wa kirusi bingwa wa...
Mimi nimesoma, private toka primary hadi advance.
Na niliomba mkopo, na chuo nikachaguliwa UDOM, na ninaenda UDOM MD, vipi mkopo nitapata au deshi kabisa. Mdhamini wangu ni baba ambaye ni mkulima
Nimechaguliwa BCS of education SUA nina two ya 11 nimesoma PCB yaani nimepata Chem C Bios C na Phy E nilikuwa nauliza je na weza badilisha course na niende BVM?
Na kama naweza ni njia zipi...
Jamani hivi kuna Student Association ya Geologists hapa Tz? also kazi zetu almost 80% tunategemea kufanya migodini, ila ukicheki ktk nafasi za kazi utakuta wanahitaji experience ya almost 3yrs...
Habari wana JF.
Naomba kusaidiwa kwa kupewa majibu ya swali hili.....
★★
Hivi mtu aliyehitimu degree ya BUSINESS MANAGEMENT au BBA-HRM,akisomea PGD (post graduate diploma...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima naomba kuelekezwa Kwa watu walioapply certificate selection zao zinatoka lini ?
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Habari za siku wana Jf Nina ndugu yangu aliconfirm makumira ila anapenda kusoma UDSM na ada halipiwi na HESLB Bali kuna shirika LA kimarekan litamsomesha je akienda kuripoti UDSM itamletea madhara...
Wadau tangu nichaguliwe sijaenda kuchukua hata admission letter ila nasubiri ifike tarehe za mwishoni mwezi huu!!!! sasa je mwenye ujuzi nitakuwa nimechelewa au niko in time????
Samahani jamani... Nilikua naomba kuuliza hivi course ya Bachelor degree in Regional development planning...
Kwa wigo wa ajira sasa hivi ipo marketable au ndio kama sawa na Course ya Law?! Na...
Wakuu nawasalimu nyote!
Nimesoma microfinance management cheti na diploma, naomba kwa wanaofahamu course inayoendana na hiyo ili nisiwe nje sana, au je nikiendelea na hiyo Microfinance Management...
Habari zenu wana jamii forum,samahan nimechaguliwa katika round ya nne ya application na nimepata vyuo vitatu sijaconfirm naomba ushauri wenu kozi ipi kati ya hizi inaweza kufaa zaidi kwa upande...
Mimi ni mkazi wa Morogoro, Kilosa naomba msaada wa kufika Bumbuli COTCS TANGA (maelezo tu je kuna gari la moja kwa moja kutoka Msamvu hadi Bumbuli? Kama hapana je nishukie wapi ili iwe rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.