Wakuu km mada inavyo jieleza hapo kutokana na changamoto za ajira nataka kumpa dogo coz itakayo mfanya ajiajiri mwenyew na kwenye bidhaa za ngozi nimeona ni fursa kubwa yeyote anae jua chuo kizur...
naandika kwa masikitiko makubwa baada ya madogo wawil waliopata div two ya 11 na ya 12 kutoka katika shule za kata kukosa vyuo na wamesoma science comb ya CBG na uelekeo wakupata haupo
hapa...
Habari wadau!
Nahitaji kufahamu vyuo vya afya na ualimu vinavyofundisha certificate na Diploma,vilivyopo hapa Dar kuna dogo langu nataka nimpeleke College,kama unafahamu hata kimoja tafadhali...
Samahan wadau kuna dogo second round alichaguliwa koz ya BAED TEKU akaconfirm lkn akaomba third round kachaguliwa UDOM koz ya HUMAN RESOURCE na huyu dogo atasomeshwa na wafadhili wake kutoka...
Samahan wadau kuna dogo second round alichaguliwa koz ya BAED TEKU akaconfirm lkn akaomba third round kachaguliwa UDOM koz ya HUMAN RESOURCE na huyu dogo atasomeshwa na wafadhili wake kutoka...
Habari JF,
Matokeo yake ya kidato cha sita ni haya
-Economics 'C'
-Geography 'D'
-A/Maths 'E'
Katika kuangaliaangalia kozi mbalimbali nimekutana na hizi kozi; 1.Bachelor of Accounting and fnance...
Kama wewe ni mtoto wa jamii ya mlo mmoja kwa siku kama unasoma, ukiona hizi combination ziache zilivyo unless uwe talented au utokee familia za mboga saba HKL,HGK,KLF,HGE,HGL,ECA tofauti na apo...
Niko chuo cha private ninampango nihamie chuo cha serikalini naomba munielekeze jinsi ya kufany uhamisho nipo mwaka was kwanza
Natanguliza shukrani kwenu
Kuna mtu ameniomba ushauri anataka kurudia mtihani wa form six PCB mwakan 2020 amemaliza mwaka huu je nimshaulije? Naomba msaada wa mawazo alikuwa na 3.14
Habari za Leo wadau,kwanza tunamshukuru Mungu kwa kupatiwa nafasi tena ya kuapply round ya nne kwetu sisi ambao hatujapata nafasi za vyuo,tunawashukuru TCU kwa kulitambua hili nakutupatia nafasi...
Yaaas, kama kawaida yetu Maafisa Ugani tunaotaka kupiga Diploma (Level 6) mwaka huu, Naomba tukutane hapa tupeane updates about selection kwa hivi vyuo:-
*MATI ILONGA
*NATIONAL SUGAR INSTITUTE...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Kenyatta huko nchini Kenya umetengua Shahada ya Uzamivu ( PhD / Doctorate ) ya Mmoja ya Wahadhiri wake ( jina Kapuni ) kwa kuwa kumbe andiko lake la Kiutafiti ( Thesis )...
Habari za jion wadau samahn mm nimeomba chuo round ya kwanza mpaka ya tatu sijapata chuo nimesoma Cbg na ufaulu wangu two ya 12 je nauliza kuna uwezekano wa kufungua dirisha kwa awamu ya nne kwa...
Tuambieni ukweli bila kupepesa macho wala bla bla sasa hivi ualimu wa masomo ya arts na unaoendana hizo hauna soko tena kwa kauli hii ya
Serikali Kusema Walimu wa Masomo ya Arts wanatosha na...
Habari zenu wakuu.
Mdogo wangu kachaguliwa hii kozi udom.Ninaomba kujua field of work kwa mtu mwenye taaluma hii,soko la ajira , pamoja na namna za kujiajiri.
Pili, nimeshanga kuona kwa udom na...
kwa wale wote (watu binafsi, makampuni, na taasisi binafsi) wenye shida/ uhitaji katika mojawapo ya maeneo tajwa hapo juu
kuandaa research proposals, collection and data analysis, final report...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.