Habari wakuu...nimekua nikijiuliza hiki chuo chetu pendwa kwanini hakina kozi ya udereva wa BODABODA ????ina maana haya MAJANGA yanayosababishwa na hawa madereva wetu BODABODA...
Wakubwa nimemaliza kidato cha 6 .comb CBG na nimepata daraja 2.12 . Nimechaguliwa SUA kozi ya shahada ya science in family and consumer study.
Naomben ushauri kuhusu hiyo kozi na pia nilikuwa na...
Nmekuwa very disappointed baada ya process nzima ya uombaji mkopo wa elimu ya juu kuwa incomplete na imeandkwa kureapply mpaka november 1 2019 hadi november 11 2019 ambapo muda wa masomo kuanza n...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, amewataka wanafunzi waliokuwa wanasoma shule binafsi kwa udhamini wa wadau mbalimbali watapewa mikopo na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi...
Kuna bwana mdogo wangu alipata multiple selection kwa kwa third round, alipata UDOM na SAUT Mbeya lakn aka confirm UDOM (BAED) sasa anauliza kuhusu admission letter kuwa hajatumiwa kwenye profile...
Tanzania Ruled Child Marriage Illegal 3 Years Ago. Now It's Trying to Reinstate It.
Activists are fighting to ensure the ban remains in place and is finally enforced.
By Daniele Selby
JULY 26...
TAARIFA MUHIMU KWA WAOMBAJI MIKOPO KWA 2019/2020
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwajulisha waombaji wote wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 kuwa kwa sasa HESLB...
Hivi kwa maisha ya chuo chuo, kukaa hostel mfano pale mabibohostel-udsm au marianyererehostel-mzumbe na yale maisha ya kuamua kukaa gheto ni yapi ambayo yako bomba zaidi?...kwa kuzingatia suala la...
Habarini za wakati huu...!
Mdogo wangu amepata multiple selection ktk third round iliyotolewa na TCU, programme alizochaguliwa n km ifuatavyo;
1. Bachelor of science in molecular biology and...
Naomba ushauri naitaji kusoma lugha ya kigeni 1 au mbili naomba ushauri ni lugha gani ni bora kusoma hasa ukizingatia soko la utalii lilivo kwa sasa hapa Tanzania kwa wenye taaluma.
Naombeni msaada kidogo wakuu...nimepangiwa IFM third round ambapo niliomba fuculty tatu TAXATION,INSUARANCE AND ACCOUNT..na majibu yamekuja kwamba you are sellected bachelor degree...
Ndg poleni na majukumu,
NILICHAGULIWA MULTIPLE(SAUT&KIUT) 2nd round nikahitaj kwenda KIUT lakini kwa bahat mbaya Nilikua na request confirmation code kwnye akaunt Yang ya SAUT nkajisahau nkafanya...
Mimi ni kijana ninasoma ngazi ya diploma mwaka wa kwanza katika chuo cha ualimu tabora nachukua CHEMISTRY and BIOLOGY. Nilitafuta shule nikafundisha nikapata hela kidogo ya kuanzia muhura wa...
Wadau wa jf naomba msaada kwa kuangalia soko la ajira kati ya kozi ya diploma ya phamacy na bachelar ya human nutrition ipi bora nisome kwan nimechaguliwa izo mbili kwenye vyuo viwili tofauti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.