Habari wakuu,
Naomba kufahamishwa kwa anaejua kama TCU wanafanya verification ya online diplomas/degrees na kutoa verified certificates ambazo zitakuwa zinatambuliwa Tanzania.
Yaani namaanisha...
Mimi ni mwanafunzi ambae nmechaguliwa chuo zaidi ya kimoja ambapo mzazi wangu akacomfirm chuo cha muce ambapo mimi ckitaki kwasababu nataka nibadilishe program kwenda sheria sasa nifanyaje...
Hellow wana jamii forum,samahn naomba msaada wa kufahamishwa chuo bora cha private ambacho kinatoa faculty kwa aliyesoma CBG,ambacho ada yake si kubwa sana
Wakuu habari Mimi ni mwalimu niliyeajiriwa mwaka 2014
Mwaka huu niliandika barua ili niwekwe kwenye mpango wa kwenda masomon lkn nasikitika mpaka sasa sijawah jibiwa
Binafs nikaendelea na...
Msimu wa usajili wa wanafunzi wa darasa la saba kuingia shule binafsi au za mashirika ya dini umeungia Na ndio msimu mzuri wa biashara ila sasa umefikia kiwango cha kuwaumiza wazazi.
Wazazi sasa...
Habarini wana jamvi ,kwa yoyoye mwenye kuifahamu hiyo kozi hapo juu anifahamishe inahusiana na nini?,Je soko lake la ajira lipo? na vyuo gan vinavyotoa hiyo kozi?.Msaada tafadhal!.
Ni matumaini yangu basi wadau wenzangu wa Elimu mko salama kabisa!.
Kama kichwa cha uzi kinavyouliza, nimeshangazwa sana na haya mabadiliko ya kiteknlojia katika elimu, kitu ambacho kimepelekea...
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) imesema kwamba Tanzania ina uhaba mkubwa wa wahasibu wenye CPA (Certified Public Accountant) ambapo kwa sasa walio na sifa hizo ni 8,000 tu nchi nzima...
wadau.
kuna ujinga mwingi sana unaendelea katika elimu ya nchi. hainiingii akilini kumfundisha mtoto wa miaka sita hesabu za borrow na carry this is stupidity.
turejelee utaratibu wa zamani...
Wanafunzi wengi wa chuo hicho ambao wamemaliza stashahada wanaendelea kusugua gaga baada ya uongozi wa chuo hicho kuwambia kwamba matokeo yao hayatapelekwa NACTE kwa madai kuwa wenye ufaulu wa GPA...
Hapa ni kwa ajili ya kufahamiana zaidi maana tunakua familia moja na kupeana utaratibu, pia hata kukifahamu chuo kwa undani zaidi, bila kusahau kuwekana sawa katika utata wa program husika.
Karibuni.
Hope weekend imeenda safi wakuu.
MSAADA WAKUU NINA DOGO LANGU AMESOMA MASOMO YA ACCOUNTING AND FINANCE NGAZI YA DIPLOMA ANAITAJI KUJIUNGA NA BOARDS HII.NAULIZA KUHUSU GHARAMA NA ANA ANZIA LEVEL...
Wadau nauliza kuhusu tohara ya mwanaume,,, me ni kijana mkubwa tu lakn bado cjafanya tohara napenda kujua kuhusu uponaji wake ni siku ngap maana Kama wasemavyo riziki ya mbwa Iko miguuni mwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.