KIU ilikuwa na Matatizo 30 Huku Tatizo Kuu likiwa Kutokuwa na Usajili kwenye Mabaraza ya Taalumu. Tatizo hili liligundulika mara baada ya watu waliohitimu Diploma ya Famasia kunyimwa Ajira na...
Wana JF naomba kufamishwa:
1) Mwaka jana 2018 chuo cha lugalo kilifungiwa na nacte. Naomba kufahamushwa kama kimeruhusiwa kufanya udahili tena.
2) Nilijaribu kumtuma mtu akanichukulie form ya...
Wadau naombeni ushauri,binti darasa la tatu kaenda shuleni na viatu ambavyo mwalimu anadai havitakiwi shuleni,mwalimu amemchapa sana tuu kwa.sababu hiyo, hivi hili kosa mtoto alistahili adhabu...
Tanzania Aviation University College (TAUC) wanafunzi tulosoma apa tunapeta tu baada ya Dreamliner kutua.
Mungu bariki tumepata kazi tonge linaingia mdomoni
Habari zenu. Nina mdogo angu amehitimu kidato cha nne(division 4 ya point 28). Anahitaji kwenda VETA. yeye binafsi anapendelea driving course. Nimekuja kwenu kuomba ushauri mnisaidie course ambayo...
habari wanjf nimeona sehemu kwamba kuna hii shule tanga ambayo ni nzuri
mwenye info zake please
je ina hostel na inapatikana tanga sehemu gani
na ada zake zikoje thanks in advance
Habari za muda wadau.
Naomba kujua kati ya aliyepita chuo(kuanzia certificate) Na aliyepita advance Nani anaurahisi kwenye kuajiriwa. ??
Msaada tafadhali.
Habari za wakati hu watanzania wenzangu. Samahani nimekwama,Kuna dogo kaniomba nimtafutie joining instructions form/admission form ya masasi clinical officers training collage. Nimeitafuta sana...
Habar wana JF
Niimechaguliwa katika vyuo viwili TIA na IFM course ya uhasibu, nilikuwa nataka ushauri wapi wapo compitent ambapo kunamjenga mwanafunzi kujiajiri au kuajiriwa.
Naombeni msaada
Habari wadau, bachelor degree in accounting and transport finance ni course inayopatikana NIT, sasa nauliza INA utofauti gan Na bachelor of accountancy inayotolewa Na vyuo vingine hap Tanzania.
Mwenye kukifahamu hiki chuo naomba anisaidie details za hapo, mazingira yalivyo na gharama za maisha zilivyo
Au kama kuna chuo kingine cha bei nafuu kinachotoa kozi ya pharmacy waweza nieleleza
Wadau!
Nimefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2018 kama private candidate ili kuendelea na kibarua changu shirika la uma. Imefikia pahara cheti kinahitajika nimekuja kwenu kuuliza kwa mwenye...
Habari wana uzi,naomba mwenye paper au kitabu cha Additional mathematics kwa kidato cha pili,nimejaribu kutafuta mitandaoni,tetea na kwingineko nimekosa,km unayo naomba share nami.
Ahsante...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.