Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Guys p poleni na majukumu Nina mpango wa kujiunga na sheria ngazi ya cheti katika chuo hichi cha mzumbe Nilikuwa nauliza kwa mwenye uzoefu na mazingia ya pale. Upatikanaji wa materials...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya mdogo wangu ameniambia tayar admission letter ameshapata chakufanya ingieni kwenye account zenu mpakue faster kama una bundle la kusua sua nenda internet cafe Kingine kama unamaswali kuhusu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wale waliopata nafasi ya kuchaguliwa saut mwanza vp admission later na joining instruction zinapatikana wap?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
JAMAN NAULIZA SHULE NZURI YA ADVANCE YA BWEN YA BEI NAFUU YA BOYS AND GIRLS
1 Reactions
3 Replies
4K Views
samaki wepi wenye mapezi na wepi wasio na mapezi
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa yoyote mwenye joining instruction ya pharmacy chuo cha RUCU 2019/2020 msaada kuipata
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nina mdogo wangu anataka kuomba Bachelor degree mwaka huu wa masomo 2019/2020. Malengo yake baada ya kuhitimu shahada yake sio kuajiriwa ni ajiajiri je? Kati ya Bachelor in...
0 Reactions
9 Replies
841 Views
wasikukatishe tamaa as sio combination nzuri !!!!! iko vizuri and ina future nzuri as unaeza soma kozi nyingi chuo kikuu as MD,pharmacy , geology,architecture, BVM ,kozi nyingi za SUA ukitoa kozi...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Leo teeeena...habarini wanajukwaa kuna bwana mmoja anapenda kuuliza ni vipi competition ya kijana wa pcm kupata pharmacy??
0 Reactions
4 Replies
822 Views
Kuna binti amethibisha kujiunga na hicho chuo tawi la Singida,sasa kwenye akaunti yake ameelekezwa kuanza kujiandikisha lakini akibofya sehemu ya kujiandikisha mtandao wao unajibu IP sever not...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita darasa la saba wamemaliza mitihani yao mwisho. Hongereni watoto wote na pia wazazi na walimu. Hongera kubwa kwa jamii yote iliyowapa nafasi watoto kusoma kwa utulivu. Wazazi...
1 Reactions
4 Replies
927 Views
Wakuu msaada tafadhali..mimi nilichaguliwa saut mwanza mass comunication lakini hiyo ndo ilikuwa choice yangu ya mwisho..cha ajabu nimekuta tayari wamenisellect na kuconfirm..lakini nikitaka...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naombeni msaada wa majina ya vitabu vizuri vya masomo ya History na Economics kwa level ya advance. Ikipendeza zaidi niwekeeni na bei zake sokoni. Asante.
2 Reactions
12 Replies
9K Views
Naomben msaada wenu wanajamvi and if posible nitajieni na maeneo yake ya kazi.
1 Reactions
68 Replies
15K Views
Habari wana jf hapo nyuma kabla ya kuanza maombi ya vyuo niliomba ushauri kuhusu course gani ni nzuri kusoma kati ya journalism na Human resource nimepata Human resource Mwalimu nyerere (MNMA) na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MAMBO YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI. 1. Epuka hasira za ovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo)...
2 Reactions
3 Replies
945 Views
Habari wakuu Kuna mdogo wangu hapa,ana grade zifuatavyo PHYSICS. D CHEMISTRY. C BIOLOGY. B Kenye round one na two zote alijaribu vyuo vyote vya afya hapa nchini,kwa kozi za MD, PHARMACY...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
Naomba kuulza kukaa hostel za ndan Saut ni Lazima au??
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumaini hamjambo ndugu zangu wa JF Shida yangu kubwa ni kutaka kujua zaidi kuhusu kozi ya biomedical equipment engineering ngazi ya ordinary diploma kwamba inatolewa Katika vyuo gani hapa...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Back
Top Bottom