Hii ina wahusu first year ambao hawajui kipi bora kati ya kupanga au kuishi hosteli!
kupanga chumba cha kawaida 50,000/= malipo ni kwa miezi sita=300,000/ bado utahitaji vitu vya ndani kama...
Habari saizi ndugu zangu
Nina ndugu yangu kasoma PCB akapata dv2 ya points 12 BIOS C CHEM D NA PHYS E
Mnamshauri aaply coz zipi coz first round & second round zote ameachwa
Naombeni msaada...
Nimechaguliwa agriculture economics and agribusiness pale sua VS bachelor of science with education pale udom naomba ushauri kozi gani nzurii katika kujiajir pamoj na kuajiliwa au anaeifahamu...
Jamani wakuu nauliza kama kuna mtu anajua kinachoendelea huko nacte kuhusu second selection anijuze tafadhali, maana hata ku-lon in to my profile wananambia server not found. Wakuu msahada tafadhali.
sorry wakuu kwa anaeielewa hiyo cozi tajwa hapo juu anielezee, usomaji wake, field, na mwelekeo wa ajira unaweza kujiajiri? pia je anaeisoma anawez soma na masomo mengin ya Darasani kama mwalimu...
Information Missing:
Taarifa zako hazikupatikana, hii inamaanisha yafuatayo:
Chuo ulichosoma / Unachosoma hakija kusajili kwenye mfumo, fuatilia kwa msajili wa chuo ili...
Dogo langu hapa amechaguliwa kwenda kusoma Degree program chuo kikuu kwa selection ya hii ya awamu ya pili kwa kozi ya education in science
Sasa wakuu ushauri wenu je aende tu akasome hiyo kozi...
Habari Wandugu,
Nina mdogo wangu anahitaji sana nafasi ya masomo ya afya haraka katika fani ya
Assistant Clinical
Pharmacy Certificate
Nursing Certificate
Qualification zake ni
History B...
Habarini, nimeona nitoe ushauri kwa ndugu ambao wanapenda kujiunga na courses mbalimbali za Computer, hapa namaanisha Computer Science, Information Technology, Computer Engineering na ambazo...
Naomba kusaidiwa mada tajwa hpo juu, ushauri wako +wangu binafsi naiman nitachkua maamuz mazur yatakayonisaidia mbele ya safar yngu, nimechaguliwa hzo coz kwnye vyuo tofaut and now niko dilemma...
Hello, niliomba nafas ya kusoma masters katika chuo fulani apa Tanzania, nimebahatika kupata nafasi
Swali langu ni Je naweza kuomba sponsership kwenye shirika lolote au ni lazima kusubir zile...
Kuna mdogo wang kachagulia multiple first round alichagulia chuo x na z na akadhibitisha chuo x bt sec selctn akachaguliwa chuo y na anataka akasome chuo y na kadhibitisha chuo y kaenda chuo x...
Enyi wasomi wa jf naomba kuuliza hivi inawezekana ukaomba diploma muda huu bila kupitia NACTE?
Dah kuna dogo hapa home mpk sasa hajaomba Chuo
Je unaweza kwenda direct Chuo akiwa na details zake...
Wakuu ipi ni kozi nzuri kati hizi mbili BArch pale udsm na Environmental engineering ya ARU hasa katika kujiajiri..
Vilevile na changamoto za vyuo vyote, Kama maradhi,taaluma nk.
Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.