Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kuuliza chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy ni cha serikali au private na vp kuhusu ada za masomo ya ualimu kwa degree
0 Reactions
3 Replies
696 Views
Habari ya majukumu dada na kaka zangu. Samahani Naombeni mwenye mtihani wa English language form four uliotungwa kwa kuzingatia format mpya (2019) anisaidie. Natanguliza shukran
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Habari za usiku huu wakuu. Kama kichwa cha thread kinavyosema, ninahitaji past papers, links zenye maswali pamoja na documents maana nipo kwenye maandalizi ya mitihani hii. kama utakuwa na uwezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KUNA UPDATE YEYOTE????
0 Reactions
5 Replies
752 Views
Bachelor of science in microbiology Jamani naomba msaada anko wangu kapata chuo kozi anayoenda kusomea ni hiyo hapo juu naomba kama kuna wenye ufahamu vizuri na hii kozi na matokeo yake mbeleni...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
ninataka kusoma moja kati ya hizi ila naombeni kujua ipi ni nzuri kujiajiri na rahisi kuliko nyingine,na je Nurse anaweza akajiajiri katika ajira ya umiliki na uuzaji wa duka la dawa za binadamu...
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Habari wana JF , nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya uwezekano wa kuhama chuo, nili apply suha lakini nashangaa nimetumiwa email ya admission na chuo cha st.joseph songea, mbali na kozi kua tofauti...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Nina kijana Wang amemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata daraja la pili yaan dvsn 2 ya 11 kwa mchepuo wa HGK kwa alama zifuatazo History, D GEO, E, kiswahili B anaweza soma kozi gani?na jee...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Confirmation code inachukuwa mda gani kutumwa, wazoefu mtujuze....mana kunaacount huku inadai confirmation code
0 Reactions
21 Replies
4K Views
ERB
Wadau wa I.T Ningependa kujua kama kozi inayo tolewa RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY == COMPUTER SCIENCE IN SOFTWARE ENGINEERING inahusika na ENGINEERING REGISTRATION BOARD
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba mwenye link au pdf ya selection ya form five 2019/2020 anitumie
2 Reactions
103 Replies
56K Views
Nacte imeongeza muda wa udahili kuanzia tarehe 7 - 21 september 2019, kazi kwenu kuitumia fursa
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu hope mko vema. Mtumishi wenu sina mwanga kabsa kuhusu hio College of Earth sciences hasa Environmental Engineering kwa UDOM naomba mwenye knowledge kidogo hapo tusaidizane. Shukran
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Je Bachelor ya Sheria (LLB) kwa Stella Maris Mtwara (stemmuco) ipo vipi?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini za jioni ndugu na wanajamvi wenzangu, poleni na mihangaiko ya siku nzima. Natumaini salamu zangu mmezipokea. Nimekuja kuomba msaada wa ushauri wa kitaaluma kwa anayefahamu kuhusu suala...
0 Reactions
5 Replies
942 Views
Wadau naomba kwa anaefahamu anijuze, nawasilisha!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau Habari zenu... Mwanangu amechaguliwa AIA course ya information technology sina elimu yoyote kuhusu hiki chuo wala hii course naombeni mnijuze
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wamesoma diploma ya CS IFM naomba mnipe ushauri. Nimemaliza form four 2018. Div 2-18. Nime apply cert ya information and technology kwa lengo la kuja kusoma diploma ya CS hadi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani wapendwa naombeni msaada mwenye uelewa kuhusu Bachelor of Animal Science. nataka kuelewa kuhusu ajira zake pamoja na jinsi ya kujiajiri. Natanguliza shukrani zangu
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Wadau msaada naomba kujuzwa kama ni kweli mtu akisoma diploma ya ualimu kwa masomo kama physics na mathematics au chemistry na bios anawez kwenda kupiga degree ya medical doctor . Natanguliza...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Back
Top Bottom