Nimechaguliwa Diploma in Nursing And Midwifery chuo cha MUHIMBILI SCHOOL OF MIDWIFERY na OR-TAMISEMI kwenye selection za kidato cha tano, vyuo vya Afya na ufundi 2019/2020. Lakini mimi kwenye...
Tangu juzi ile nahangaika nipate code lkn hawatumi ni confirm chuo kwani nimechaguliwa vyuo viwili course hiyo hiyo moja na unatakiwa uchague chuo kimoja na wao TCU watakutimia code lkn mpaka wa...
Niliambiwa majina ya waliokubaliwa kujiunga masomo kwa mwaka 2019-2020 yatatoka kwenye tarehe hizi. Kuna mwenye taarifa yoyote?
UPDATE - SEPTEMBER 07, 2019
Mbona nikiingia kwenye account yangu...
Habarin wadau nmechaguliwa saut mtwara na sipo multiple je naweza kuomba round ya 3 hii ni kutoka na hali yangu kiuchum na umbali mi natoka tarime mara niliomba vyuo 3 UDOM NA RUCO lkn hawajanichukua
Nilichaguliwa first round na vyuo viwili sasa nikachagua kimoja lakini sec round pia nimechaguliwa chuo cha ndoto yng so naweza kUCANCEL CHA KWANZA NIKAENDA HIKI CHA SASA..MSAADA WAJUZI
Nina dogo alichaguliwa chuo na Tamisemi, kozi aliyokuwa amechaguliwa hakuipenda, ikabidi afanye application upya kupitia Nacte.
Baadae nacte kupitia OR-TAMISEMI wakatoa dirisha la uhamisho kwa...
wale ambao hatujachaguliwa kujiunga na vyuo,
je, tutalazimika kufanya aplication upya za kuomba vyuo tena kwa mara ya 2????
au inakuaje apo
msaada tafazali
Habari,
Kwa wale walimu,naomba kufahamishwa kidogo juu ya hii Astahahada ambayo nimeona inatolewa pale Dakawa TTC.
Je,walimu watakaosoma hiyo kozi hawataruhusiwa kufundisha shule za Serikali...
Habarini wakuu.naombeni msaada nimechaguliwa vyuo viwili yani ifm kwa kozi ya bachelor of science in social protection na Moshi university (mocu) kozi ya Bachelor of art in procurement ana supply...
Wakuu salama? kuna yeyote aliyeomba AVN na akapata huu mwaka? je inalipiwa ama? maana naskia wanasema inalipiwa, but ukiingia kwenye system yao mtu unafanya regisrtaion hadi mwisho lakini hamna...
Nimechaguliwa kozi na ngazi mbili tofauti so nahitaji msaada wa ushauri kati ya BACHELOR OF INFORMATION TECHNOLOGY (NIT) na DIPLOMA IN PHARMACY (COTS MTWARA) wapi ni bora zaidi msaada nipe na...
Ifuatayo ni list ya Vyuo vikuu hapa Tanzania,.. Na nafasi yake kwenye list ya Vyuo vikuu Duniani.
Best Tanzanian Universities 2018 – Latest Rankings
By
fadamana

A list of best universities...
Methodologies ambazo zimetumika.
sources: https://en.wikipedia.org/wiki/QS_World_University_Rankings.
QS World University Rankings? 2014/15 | Top Universities
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.