Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
kuna ambao wanasema selection zimetoka na wengine bado,ila kwangu mimi bado au kuna mahali nakosea au ndo nimetoswa hivo jamani???... nawasilisha!!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Fee structure kwa Masters for science program chuo cha SUA including research funds ni shilingi ngapi mpka unamaliza??? Naomba kufahamishwa kwa anayejua Asante 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari! Naomba kufahamishwa kazi wanazofanya watu wanaosoma diploma hii (Health Information Sciences) . Na uwanja wa ajira uko vipi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale waliosoma/ wanasoma chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) naomba mnijuze kama ni kweli ni haki ya mwanafunzi kuongezea alama 1 katika somo alilopata 39, endapo alama hiyo moja akiongezewa...
1 Reactions
7 Replies
982 Views
naombeni munisaidie link ya post za vyuo 2019/2020
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujua wale waliofanya uhamisho nacte toka vyuo walivyokuwa wamechaguliwa hapo awali kwenda vyuo vipya utaratibu upoje kupata joining na taratibu zingine za kujiunga, maana kuna vyuo kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo nimefanya utafit wangu nimegundua kuwa wanaoomba vyuo awamu ya pili ni kama wanapoteza muda tu coz vyuo asilimia 98 vimeajaa Nimechukua TCU GUID book na kuangalia CAPACITY ya idadi ya...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Naomba kujua zaid cource zinazo husu comb ya EGM
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimemaliza 4m 6 2012, nanimepata III-15 Hivi naweza omba chuo nikapata nakiomba faculty zp? Niombe ?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
jaman nisaidien kuelewa juu ya hii kutoka nacte
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanajamii wenzangu kwa yeyote anayeweza kunipa aina nzuri na yakisasa ya kuandika CV tafadhali, CV Format, natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HELLO Naomba kujua kozi zinazotolewa chuo cha taifa cha usafirishaji(NIT), kozi fupi kwa madereva. 1. Advanced drivers grade 2 (VIP) 2. Advanced drivers grade 1 (VIP) 3. Senior drivers course...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari JF naomba ushauri nina ufaulu wa alama Kiswahili C English C Geography D History D Civics D Biology D Je ni cozy au chuo gani kitanifaa zaid kulingana na ufaulu wangu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini, kwa mtu yoyote mwenye kupata shida au swali kwenye application za Masters udsm unaweza kuniuliza swali nikakusaidia, au kama unahitaji maelezo kuhusu courses ambazo ni computer related...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
kuna pc mpya inapigwa bei poa ikiwa na vigezo vifuatavyo aina ni samsung Hhd 750GB ram 4GB processor 2.5ghz wabcam camera wirless na antivirus for 2 years nipo pande za muhimbili unvsty...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wana jf naomba kujuzwa kama selection za ualimu diploma zimeishatoka na kama kuna aliyepata atujulishrle.
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Kuna mtoto ameomba muhas second round wakamtumia status kwenye accoujt yake kuwa not selected kwenye course alizoomba, leo anaingia kucheki ule ujumbe haupo tena, hii nini maana yake sasa kwa...
0 Reactions
6 Replies
933 Views
Kwa sababu zipi chuo kikuu cha mzumbe wamechelewesha majibu sahihi ya udahili kwa wanafunzi awamu ya pili? Kwa mwenye majibu sahihi hili kusaidia wanafunzi kuelewa na wasiwe na haraka na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tujuane kwa wale wa IFM wenzangu humu kwenye janm mana kila mtu mara udsm mara udom na xie tujimwaye tupia koz hapa ...heshma kwenu
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimepitia selections za vyuo mbalimbali nimeona kuna kozi ziko tight watu wameshona hatari wakati kozi zingine bado zinapwaya. Kwauchache zifuatazo ni kozi ambazo zinaongoza kwa ushindani. Kozi...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom