Naombeni msaada wenu ,mi natarajia kuanza masomo ya level ya degree ,sasa najua kila hatua inamikakati yake,nilivyozoea kusoma secondary(Advanced) najua itakuwa tofauti kidogo na chuo...
Je kuna MTU alie omba vyuo vya diploma ualimu kwenye vyuo vya Mpwapwa Tc, Songea Tc na kwenye status yake akapataaaa??? Naombeni majibu maana mi sijaona chochote kwenye profile yangu??
Ninaomba kufahamishwa kwa mwenye kufahau, kuhusu ratiba ya nacte.Je nitajua kama nimechaguliwa tarehe 15/9 ambapo wamesema ni "online submission of selected students to nacte"? Au ni mpaka ifike...
The Times Higher Education World University Rankings 2014-2015 list the best global universities and are the only international university performance tables to judge world class universities...
Haya ni mambo 8 ambayo huwezi kufundishwa shuleni:
1. Maisha hayako fair. Yazoee. Unaweza kufanya kazi sana ila ukakosea kidogo tu usifanikiwe lakini mwingine ukaona hafanyi sana ila anafanikiwa...
Haya ni mambo 8 ambayo huwezi kufundishwa shuleni:
1. Maisha hayako fair. Yazoee. Unaweza kufanya kazi sana ila ukakosea kidogo tu usifanikiwe lakini mwingine ukaona hafanyi sana ila anafanikiwa...
Hii hapa List ya Vyuo Vyote Tanzania Vilivyotoa List ya Majina ya wanafunzi waliodahiliwa katika awamu ya pili
NB; Hii thread itakua UPDATED Kulingana na Vyuo vitakavyotoa majina
*Unaweza kupata...
Wakuu hv hii course ya bachelor of education in adult education Mtu akiisoma soko lake la ajra lpoje? Na Mtu atafanya kazi gan baada ya kuhitimu mafunzo?
Habari za asubuhi?Tcu wametoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja awamu ya pili na ambao hawakuthibitisha kujiunga awamu ya kwanza.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nilimaliza kidato cha nne mwaka 2002 na kufanikiwa kupata division1 ya 14 na nikafanya Advance level mwaka 2006 PCM na kupata division 2 ya 12 (Phy E, chem C...
nina ndugu yangu kamaliza form six cbg,
kaambiwa hawezi kusoma pharmacy wala medicine, (udaktari) kwa kombi hio kisa hana physics kwenye kombi yake. na yeye kaamini, wakati dogo huyu ndio ndoto...
Habari zenu wakuu mimi nimepangiwa bachelor of science in quantity surveying lakini nataka kubadilisha nifanye geomatics mna ni shauri vipi hapo nibadilishe au ni baki na hiyo niliyopangiwa...
Wasomi, habari zenu
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Naomba kuuliza hivi unaweza kuomba Masters scholarship zinazo tolewa nje ya Africa, kupitia matokeo ya Postgraduate Diploma? Je, kama...
Maisha yana nyanja nyingi Sana za kutokea japo wako wanaona kuwa ukifeli shule umefeli maisha kitu ambacho si kwel! Kama hili lingekuwa kweli basi walimwengu wote wangekuwa wasomi
Unalotakiwa...
Jmani napenda kuuliza kwa wale walioomba kubadilishiwa course Na chuo nawakatumiwa ujumbe toka nacte kuwa wamefanikiwa kubadilisha chuo/course
Je ni taar wameshachaguliwa mojamoja kwenye chuo...
Please moderator , can you turn me to a verified user. The provided personal details here below are correct .
Name: David Jeremiah
Profession ; teacher
Email; jeremiahd58@yahoo.com
The pic on my...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.