Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu mambo vipi naomba msaada wa application ya ku editia videos. Nataka ni edit ka event ka familia nimekashuti mwenyewe.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
https://worldscholarshipforum.com/tanzanian-scholarships-usa/
1 Reactions
0 Replies
613 Views
Wakuu ningeomba tena mwenye anajua tarehe ya kuripoti UDOM anisaidie tafadhari
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Chuo kikuu cha Dodoma mbona technical team hampo serious kiasi hiki? Tangu application second round imefunguliwa tarehe 21/08 mmekua hamueleweki, mwanza server yenu ilikua chini, watu...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Jaman naomba taarfa fupi kuhusu chuo cha SAUT campus ya ARUSHA, (mazingira, na taaluma kwa ujumla)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
CPA
Naitaji msaada mm nlimalza chuo mwaka 2014 ni bach ya banking n finance.. Naezaje jiunga n CPA mitian ya board.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
kama kichwa kinavojieleza niana ndugu ambae ame aply kozi ya MASTERS IN NATURAL RESOURCES MANAGEMENT NRM Kwayeyote mwenye kufaham ni taasisi zipi ambazo mtu akisoma hiyo koz anaweza enda kufanya...
0 Reactions
5 Replies
775 Views
Habari wana jf. Mtoto wa mwenye nyumba amefanya mtihani wa pre national juzi.Sasa Katika mtihani huo kulikuwa na swali ya mathematics ambalo hata walimu wake wamelishindwa dogo na Mama ake...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
kama kichwa kinavojieleza nina ndugu ambae ame aply kozi ya MASTERS IN NATURAL RESOURCES MANAGEMENT NRM Kwayeyote mwenye kufaham ni taasisi zipi ambazo mtu akisoma hiyo koz anaweza enda kufanya...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Habari wakuu Kwa mwenye ufahamu wa ada halisi ya Lugalo atuambie maana nimepata joining yao inaonesha ada ni zaidi ya milioni 2 kwa mwaka,halafu kwenye guide book ada ni 1,130,400 sasa najjuliza...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Habarin jamani nasikia muhimbili wametoa degree selection, kama kweli nisaidieni link tafadhari.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Hasa wale mliosoma Usagara Karibun tujikumbushe mambo mawili matau tuliyoyapitia nimewamiss................ticha kisinza,seth,na wengine wengi nimemiss ile system ya self service...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wadau..I hope mko poa,Kuna chali'angu mmoja tumesoma wote Arusha Secondary ila yeye hakuendelea A Level na aliishia tu Form4 akaamua kwenda chuo mwaka 2017,Ali'apply SAUT Mwanza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wadau mada kma inavyojieleza niende kusoma kozi ipi kati ya hizo mbili na manufaaa yake huko mbeleni.leo ndo mwisho wa kuthibitisha.......mawazo yenu tafadhali kwani nimekwama
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au...
12 Reactions
206 Replies
22K Views
Katika maisha ya kusoma tulipitia Changamoto nyingi sana hasa kwa masomo ya sayansi, kukosa walimu au mwalimu kushindwa kulimdu somo vizuri. Hapo mwanza kuna mwalimu anaitwa Mwl Michael...
8 Reactions
27 Replies
8K Views
Wadau naomba msaada wa mawazo, kila mwaka nimekuwa nikijitahidi kununua Diary lakini kutumia ni shida .. Je ni yapi matumizi sahihi ya Diary
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Ndugu zangu jukwa hili nafahamu nila siasa lakini nimeona swala hili niliweke hapa kulingana na malalamiko mengi ambayo yamejitokeza kwa wanafunzi MBALIMBALI hususani katika chuo Cha (MOCU) MOSHI...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani naomba kufahamu, udahili wa vyuo awamu ya pili wanazingatia sifa gani ambazo ni tofauti na awamu ya kwanza? Au ndo wanajaza nafasi tu zilizo achwa na wale waliothibitisha vyuo tofauti...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu habarini za leo nahitaji msaada nawezaje kupata notes za biology na chemistry ni application gani ni nzuri..?. Kwa Advanced students Note:zisiwe za online Zisiwe za kulipia
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Back
Top Bottom