Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
wazazi wenzangu. naomba mwenye kufahamu muundo wa karo za hii shule anisaidie nataka nianze kujiandaa kisaikolojia na kilasirimali mapema binti yangu anakaribia kuingia darasa la pili. inchaji.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wale wa Udsm, mambo tayari huko.wale wa September tujuane hapa...wale tuliomaliza Chuo pia tunaweza share experiences zetu kuhusu mwez september😀 SEPTEMBER TO REMEMBER
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mwenzenu Niliomba udom ila kuna sehemu paliandikwa kuambatanisha cheti ila sikuelewa wanamaanisha cheti cha diploma,foundation, six au cha form four yaan sikuelewa kabisa nikashindwa kuambatanisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mtoto wangu ana ufaulu wa EDD,PCM ni msichana .round ya kwanza tulijaribu ardhi,udom,mzumbe na udsm kwa course za information system ,bcom (udsm na building economy ardhi tumekosa zote.tumejaribu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
[emoji419]Hii hapa Joining Instructions, Admission Letter na Medical Form ya TUDARco Kwa mwaka wa Masomo 2019/2020...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar za muda huu wajomba, ni chuo gani bora zaidi kwa kusoma degree ya computer science?
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habar za muda huu wajomba na mashangazi, kwa wale mliosoma Open University bachelor of science in ICT, kuna course ya mwaka wa pili imeandikwa kwenye website ya OUT kwa jina hili " environmental...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Wakuu habari zenu Poleni saana na majukum ya kuijenga Tanzania ya viwanda. Na tuendelee na duah kuiombea ndege yetu iliyoshikiliwa bondeni kule iachiwe maana bila ile ndege itakuwa ngumu sana...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau nimeomba Second round koz hiz na kama kuna mtu alipita au kusoma udom anijuze gharama za hiz program
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakubwa. mwenye kufahamu muundo wa karo shule ya wasichana st. francis forest mbeya anijulishe. nina shida nayo sana nina binti yangu nataka nianze kujiandaa kisaikolojia. inchaji.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kufahamu utaratibu baada ya kupewa mkopo chuoni, siku ya kuripoti watakutambuaje kama umelipiwa tuition fees na HESLB je, na utapataje accommodation???
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nitajieni apps nzuri kwa mwanafunzi ili nizipakue Pia nitajieni vifaa muhimu vya stationery nikanunue ikiwemo aina ya peni nzuri ,penseli ,highlighters na vitu vingine muhimu vya...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Kwa wanafunzi wa A-level tu ( kidato cha 5 & 6 ) Katika somo la ADVANCED MATHEMATICS (PCM, PGM, EGM) MAHALI Centre ipo buguruni rozana mtaa wa bahatisha, usawa wa dereva tax kama unaelekea...
10 Reactions
36 Replies
5K Views
Msaada tutani wadau. Dogo alichaguliwa UDOM, BCom. Haku confirm wala ku-cancel. Sasa anataka ku cancel admission kwasababu interest yake ni kusoma Uchumi. Na kwenye portal ya UDom hakuna sehemu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna maswali 6 ambayo wanahisabati wanahangaika kuyaprove na unapofanikiwa kuyaprove kuna zawadi ya almost usd 1000000(not very sure of the figure) Wanajf fursa hii mimi nahangaika na moja...
2 Reactions
2 Replies
922 Views
Kuna shule ya advance ambayo mpaka sasa inapokeaa wanafunzi wa form five?
0 Reactions
6 Replies
803 Views
Kila mmoja adondoshe hapa matokeo ya jumla ya necta form six 2013 ya shule aliyo soma
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Ofisi ya Rais Tamisemi imetangaza uchaguzi wa pili kwa wanafunzi wa kidato cha nne 2019 ambapo wanafunzi 1,674 wamepata nafasi huku 187 wakikosa nafasi. Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Second Selections za Form Five zimetoka. Zipo kwa PDF, Link ya TAMISEMI ni http://www.tamisemi.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/second-selection-2019.pdf
1 Reactions
4 Replies
3K Views
mtoto wangu ana ufaulu wa EDD,PCM ni msichana .round ya kwanza tulijaribu ardhi,udom,mzumbe na udsm kwa course za information system ,bcom (udsm na building economy ardhi tumekosa zote.tumejaribu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom