Waungwana habari zenu?
Mimi ni dereva na niko na uzowefu zaidi ya miaka 10 kwa magari tofauti.
Sasa nataka niendeleze huu ujuzi kwa kusoma kozi mbili hizi
1 fundi umeme wa magari
2 kue desha...
Huyu ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (mlimani), ni binti ana miaka karibu 26 sasa.
Ni mwaka wa kwanza kabisa, mwaka Jana ndipo alipojiunga na chuo hicho.
#point ya msingi :matokeo ya...
Habari za wakati huu wana wa jamii forum.
Naomba kuuliza swali ; Kwanini anga huwa linaonekana rangi ya blue wakat wa mchana iwapo Kama hakuna mawingu?
Asante.
Jamani naombeni msaada kwa yeyote anae jua au anaesoma chuo cha kilimo mati-ilonga morogoro mimi nilituma maombi sasa sijui ndo bado majibu hayajatoka au mimi sijaona ,anaejua tafadhali anisaidie
Msaada wa pendwa cheti changu cha Diploma kimungua kwa ajari ya moto, nimekwama baada ya kushindwa kupata muongozo kutoka kwenye website ya NACTE. Ni kiasi gani cha fedha na muda wa kupata hicho...
Habari waungwana msaada wenu dogo orodha ya wanafunzi waliochaguliwa hayupo ila akifungua akaunti yake anapewa congratulations kwa kuchaguliwa vipi hapo afanyeje
Poleni kwa ambao mpaka muda huu bado hamjapata chuo, Endeleeni na round 2 mtapata vyuo maana vipo kwa ajili yenu.
Kwa ambao tayari wamepata vyuo na wamechaguliwa kusoma sheria.....Law (LLB)...
Mtoto wangu ana Umri wa miaka 5 sasa anasoma shule moja ya English Medium. Mbali na ada ya mwaka kiwa tsh 3,000,000. Kuna udambwi dambwi mwingi sana mpaka sasa nachoka kwa usumbufu.
Kila baada ya...
SWALI: Assalaam alaykum. My dear brothers. My question is.is it possible to my Sunnah prayers, while reading the suraz by holding the holly Qur'aan in my hand? I did not memorize those suraz, I...
Jamani naomba kuuliza kwenye system ya UDOM online application unapojaza ikifika katika ku-select applicaton level inatokea option moja tu ya graduate
Kama kuna mtu anafahamu namna ya ku apply...
Wadau habari,
Naombeni msaada mnijuze ubora na soko la ajira kwa KOZI zinazotolewa na chuo cha ushirika Moshi hasa ile certificate ya distance learning.
Angalizo:
nimeambiwa tuu sasa naona kabla...
Wakuu sana salaamu!
Nikiwa kama mdau wa masuala haya muhimu ya elimu kwa maendeleo ya jamii na taifa letu pendwa katika kufatilia kwangu nimeona hawa NACTE safari hii wameanzisha utaratibu mpya...
Wakuu habari zenu
Samahani kwa wale ambao washafanikiwa kuapply udom kwenye sehemu ya ku upload attachment unaweka zipi?
Je ni a-level certificate na o-level kwa kipengele cha certificate award...
habarin jm nina shida katika account za muhimbili yaan sio moja ni wanafunzi wawili. kila nikijaribu kuingia wanasemma incorect password nmejaribu kureset pia wanasema username is not found na...
Polen na majukumu ya kila siku, Nina mdogo wangu amechaguliwa kusoma BSc in Nursing, Rafiki yangu mmoja ambaye tulisoma nae O level ni Nesi ngazi ya cheti amenieleza uuguzi haufai kwa tanzania...
Tunatafuta chuo au popote wanapotoa mafunzo ya computer microsoft word, excel ,graphics kwa angalau miezi mitatu.
Ni F4 leaver wa miaka mitano iliyopita. Anataka kufungua stationary December...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.