kwa matokeo haya Phy C,Chem B, Bios D,Math C, Eng C
kwa vyuo hivi na kozi hizi:
Bugando- nursing diploma
kiomboi-nursing tech certificate
lugalo-clinical medicine diploma
msaada wako pliz,hapa...
Wakuu habari zenu namshukuru mungu kwa afya na uzima ninaomba ushauri nimechaguliwa chuo
Bsc agriculture economics and agrb-SUA
Bsc In laboratory science and technology-must(mbeya)
Nimesoma cbg...
Amechaguliwa Vyuo Viwili, Cha Ushirika Moshi (Muccobs ) katika kozi ya Business information and communication technology
Cha pili ni TIA (dsm) kozi ya Business Administration.
Sifa za...
ana point 11 ya hkl kakosa round one ya selection katika vyuo vya mzumbe udsm na udom anataka ushaur wa vyuo na faculty ambazo ni less competence anazoweza apply kwa second round please mpe advice...
C&P
OFISI YA WAZIRI MKUU
KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU
*TAARIFA KWA UMMA*
*FURSA YA MAFUNZO KUKUZA UJUZI KWA NJIA YA UANAGENZI*
1. Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana Ajira na Wenye...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Naomba mnifahamishe vitu nnavyotakiwa kuvijua Kwa technician certificate in accountancy.
Kuanzia muda wa course,vyuo Bora Kwa hii course,masomo...
Mimi Manjagata, ni mwajiriwa katika sekta binafsi natamani sana kuongeza kadigrii ka pili! Sasa nawaza kati ya hizi shahada in ipi itanifaa kwa kustafia hapo baadaye? Ya kwanza ni hii ya project...
HAPPYLIFE COLLEGE chenye namba ya usajiri IAE/05/0311
Kilichopo Mkoani Arusha
Kinawatangazia wahitimu wa darasa la 7, kidato cha nne na kuendelea nafasi za masomo yatakayo anza tarehe 23/09/2019...
Kuna kundi kubwa la wanafunzi wanaomaliza STD 7 na Form 4 na kushindwa kuendelea na masomo.
Veta kwao ni suluhisho, vinginevyo bangi na wizi mtaani vinazidi.
Habari zenu wadau wa elimu,
Moja kwa moja kwenye mada
Ni hivi kuna dogo aliomba ardhi kozi ya civil engineering, lakini majibu yametoka wamemchagua kozi ya environment engineering ambayo...
Samahani naomba ama mwenye ndugu au anayesoma mwaka wa kwanza au miaka ya mbele anipatie mawasiliano yake nna shida nahitaji msaada. Mjomba wangu amepangiwa chuo kwa mwaka 2018/2019
Kama bado hujafanya maombi kwa njia ya mtandao kwenye site ya nacte, nauza risiti namba ya malipo kwa sh 7,000 tu. Kwa malipo halali ni sh 10,000. Kwahiyo utakuwa umeokoa sh 3000 nzima.
Sijui tafsiri ya English Medium lakini tuachilie mbali tafsiri yake hii shule ipo Tanga mjini kabisa na wakaguzi wa Elimu wapo hapo hapo mjini na wanajua yanayoendelea , mnasubiri Rais aje kwa...
Kwa researches zilizopo inashauriwa students wasome hizi kozi for a better future,in terms of kutegemea ajira
1.Data science
2.Language and customer care
3.Medicine
4.Civil engineering
5.MBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.