Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wasalaam, Msaada kwa mwenye anaifahamu fika kozi tajwa hapo juu inahusika na nini hasa.Ipo chuo kikuu cha ARDHI-dzm.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilisikia diploma kwa vyuo vya serikali una weza kuomba kwa njia mbili ambazo ni kwa kupitia NECTA au CHUO HUSIKA sasa mimi nataka niombe chuo cha kibaha direct sasa tatizo linakuja sina link wala...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu zangu nimechaguliwa hizo kozi hapo mnanishauri nkasomee kozi ipi ambayo ina upana wa ajira na ata kujiajiri pia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Wadau binafs nmechaguliwa kusoma open mwaka huu ila sijapenda kusoma pale na sijui kwann TCU wamenipeleka pale wakati halikuwa chaguo langu LA kwanza JE je ninaweza kuhamia Chuo kingine na je...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman mwenywe uelewa kuhusu course hiyo course apo
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Tangu usajiri ufunguliwe awamu ya pili mwezi huu agosti chuo cha UDOM hamuelekweki watoto wanahangaika kuhusu usajili mmeweka namba pale wanapigiwa sm hawapokei ukimbahatisha mmoja ukimuiliza jibu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa mliosoma mathematics chuo kikuu marufu kama MT huwezi zisahau course hizi mm naanza NUMBER THEORY ABSTRACT ALGEBRA TOPOLOGY FUNCTIONAL ANALYSIS REAL ANALYSIS taja zako zilizokutesa
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Habari wakuu, Nina mtoto wa ndugu yangu namsomesha Chuo Cha Utumishi wa Umma Dar (TPSC) kimezoeleka kwa jina la Magogoni.. Ni mara ya pili matokeo ya mtoto wa ndugu yangu yamebadilishwa...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Bachelor of arts in mass communication,bachelor of arts in public relation and advertising na bachelor of international relation and diplomacy
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu hii kozi kwa undani, ukisoma unakuwa nani, soko la ajira liko vp kwa hii kozi, na inauhusiana na nn katika jamii. Nitashukuru kwa maoni yenu.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu poleni na majukumu naombeni kuuliza ni vyuo gani mpaka sasa wanaopokea wale waliohitimu foundation program open university? Coz mpaka sasa mambo hayaeleweki kabisa nahisi open wametutapeli...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Kila chuo ninacho'apply' wanataka AVN kutoka NACTE, nime'register' NACTE na kujaza information zote zinazotakiwa, nimekuja kukwama wakati wa kujaza Index No ya FTC ambayo ipo katika mfumo wa...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu hii kozi kwa undani, ukisoma unakuwa nani, soko la ajira liko vp kwa hii kozi, na inauhusiana na nn katika jamii. Nitashukuru kwa maoni yenu.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
kam hyooo pich inavyoonyesh nimeambiwa nakaribishwaa kuapply for second round lkn sas sas niingie wap kuapply..????
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomben mnisaidie facult nzur ya kusoma kati ya hiz na ajira zake maana nmeshndwa uchaguz sahii maana cyo mzoefu UDSM:Bsc in agriculture and natural resources economics and business ARDHI:Bsc in...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
selection zimetoka na kila mmoja anajua cha kufanya swli linabaki vipi kuhusu majina ya waliokubaliwa kupewa mikopo yatatoka lini anaye jua au mwenye tetesi awajuze watu
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Salama Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara, eti wakuu kina haja ya muhandisi kusoma masters ? Na je muhandisi mwenye masters kuna reward yoyote ile kama vile kupandishwa cheo kazini ?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Selection zmetoka nmechanguliwa saut mwanza kozi ambayo nliichangua kama utani kozi vyuo vngne unachagua koz tatu tu SAS kwa chuo cha saut ni NNE sasa mi nljiandaa kwa hizo tatu kama vyuo vngne...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna binti ameangukia katika kundi multiple selection anajaribu kuthibitisha hicho chuo tajwa hapo juu baada ya kutumiwa confirmation code, lakini kila akiingiza hiyo code na kukomfirm mtandao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman wakuu naombeni msaada kama kuna mtu yeyote aliyesoma koz inaitwa project planning anielezee kdg ubora wake na soko piah maana nmechaguliwa hyo lakin sijawa exposed sana juu ya hyo koz msaada plz
0 Reactions
3 Replies
774 Views
Back
Top Bottom