Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Msaada wakuu.. Eti combination ipi ya masomo ni nzuri kwenye hii Bsc General degree.Wengi wanasema Combination nzuri ni Chemistry and Microbiology,je ni kweli??msaada zaidi
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa sisi ambao hatujachaguliwa udom ila tulituma maombi,je round hii ya pili kutuma maombi tunafanyaje mana ukiingia kwenye profile yako uanakuta wameandika your application is successfully...
0 Reactions
6 Replies
986 Views
hivi kwamfano uliomba vyuo vinne ila majibu yalivyotoka ukapata kimoja na ww aujakipenda inakuwaje au niombe tena
0 Reactions
1 Replies
429 Views
Nimehitimu form four nikapata Kisw-B Hist-C Chem_C Bios-C Geo-C Eng C Mathematics D Civ C Nina two ya 20 Je ni wapi patanifaa kuapply kabla hawajafunga selection nacte UPI...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Iko Bagamoyo, wanafanya aptitude test za kuingia F1, kuna masomo ya French, Kilimo, yote kwa iPad Learning
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima Natafuta mtu mwenye uzoefu na maswala ya kununua vitu online Nataka kuagiza laptop kutoka Amazon Kama upo tayari njoo pm tuongee biashara.
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Natanguliza shukrani kwa wana JF kwa kazi mnayofanya na Mimi nimeapply vyuo vya diploma education vitatu Nina two ya point 20 chemistry, biology zote Nina c vyuo nilivyoomba ni mpwapwa Tc na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
The Mwalimu Nyerere Memorial Academy ni chuo ambacho bado kina nafasi nyingi za kutosha hadi sasa. Ni chuo cha serikali. Kipo kigamboni, diploma na degrees'. Please, wanaosema vyuo vimejaa...
2 Reactions
52 Replies
28K Views
Habar zenu wakuu. Nina shida yakuona matokeo ya UDOM ya mwaka 2011 online kupitia ARIS. Lakini nikilog on baada yakuweka Username na password naona chenga tofauti na miaka flan yanyuma hiko. Kama...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Sasa unatembelea shule anayo somea mwanao unakuta uyu mwalimu yko darasani utachukua atua gn...?????
0 Reactions
1 Replies
528 Views
SWALI LA KIZUSHI: Inawezekana shule kutoa elimu kwa Waafrika bila adhabu ya viboko? Hao wanafunzi wataweza kuelewa kweli bila adhabu kali za viboko? 1. Pana mashule Tanzania ambayo hayana adhabu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama inavyosomeka hapo kwenye heading naomba kufahamishwa zaidi kuhusu course hizi kwa degree ipi ni nzuri ukiisoma 1.Medical lab 2.Nurse 3.Microbiology 4.Molecular biology & Biotechnology Ushauri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1.Bachelor of business administration in acount 2.Bachelor of business administration in market 3.Bachelor of Business administration in management
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kwa anayeFahamu Deadline ya kuthibitisha (confirm) Chuo utakacho kwenda... Pia naomba nifahamishwe namna ya kupata CODE hizi kwa haraka zaidi 🙏🙏🙏🙏 natanguliza Shukran
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale wa diploma majibu yao ya selection ya vyuo yanatoka lini?
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Nmepata vyuo vyote nilvyoapply,udsm nmepata coz ya b.in accounting na mzumbe nmepata baf in public sector ushaur wadau nconfirm wp?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Maisha hayana formula ila mtu anaweza akajitahidi kufanya lile awezalo kadri mwenyezi Mungu atakavyo muwezesha. Naomba tujifunze na wengine wajifunze kutoka kwetu sote, nakaribisha maswali yanayo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/KirHi4vPCmNFHB8olw22ml KARIBU UDSM, KARIBU COLLEGE OF HUMANITIES (COHU) 2019/2020 Zifuatazo ni kozi zitolewazo COHU 1...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi Kama kichwa kinavyosema hapo nataka kununua laptop Kwa ajili ya kujifunzia(chuo) Laptop gani n nzuri Na zinakaa Na charge muda mrefu. Budget yangu ni million Moja...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba ushauri.na dogo wangu kamaliza form 6 kasoma pcb kafanya maombi ya udaktar kakosa.nilitaa kujua kozi gani nyingine aaply na WAP.
1 Reactions
2 Replies
402 Views
Back
Top Bottom