Salaam, wanajukwaa na watalaam pia wataaluma.
Leo ninajambo naomba niwashirikishe, hasa wadau wa elimu ya moja kwa moja darasani (Walimu)
Namlenga moja kwa moja mwalimu nikizingatia shughuli...
Kwema wana JF Mimi naomba undan kuhusu hii koz ipoje na inajikita upande gan na uwanja wa ajira ipoje kwa upande wa serikal na sekta binafc maana nategemea kuomba second round nmesoma HGL
Jamani wanandugu habari za usiku, napenda kuuliza kuwa hawa wanaokuwaga wanafunzi bora kitaifa ma TO wa form six au form four hivi ni kwamba wanakeshaga usiku kusoma au kwa sababu wanapoulizwa...
National Institute of Transport ni chuo pekee kinachoToa kozi za kuaminika za Tanzania katika masuala ya Usafirishaji.
National Institute of Transport NIT pia kinatoa kozi mbalimbali za sayansi...
Habari wana jamii forum, naomba kujuzwa kozi ipi ni nzuri zaidi kati ya hizo tajwa hapo juu maana nimechaguliwa kwenye multiple. Note: education (chemistry &biology)
Wakuu
Nina mambo mawili ambayo ninaongea na Nacte pamoja na wizara ya afya kwa kuhusiana na course ya nursing&midwifery
1..Kwa upande wa diploma ilibidi tufanye mtihani tarh 26 augst ila nyie...
Habari JF members eti ni course gani kwa British council ni nzuri na inamfanya mtu awe na eligliblity kukubaliwa kupata admission ya vyuo vya nje ya nchi
Maana vyuo vingi nimeona wanataka...
Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana sasa kwa bahati mbaya matokeo yakawa mabaya kabisa (0). Nilimwambia arudie mtihan ila amedai anataka kwenda VETA, nimeenda kuchukua form...
Habarini wanajukwaa, naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa mtu aliyehitimu degree BSC EDUCATION(Chemistry and Biology) kuweza kusomea masters masuala ya udaktari wa binadamu au madawa...
BELOVED
AM LOOKING FOR A COLLEGE/INSTITUTE TO TUTOR MATHEMATICS COURSES ( Engineering, business, education,IT related maths courses) . I HOLD BSE WITH MATHS & IT ,WITH HON. FIRST CLASS.
ALL CPA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.