msaada brothers & sisters, et kuna tofaut gan kama mtu akisoma coz ya wildlife management pale mweka na mtu atakae soma wildlife management and law enforcement pasiansi ? msaada wakuu
Wapenda habarini za uzima napenda kuomba ushaur juu ya kozi gan ya afya ambayo naweza kusoma kulingana na matokeo yangu haya physics D chemistry C biology C English C civics C geography C...
Jaman habarini za kazi nilikuwa naomba ushaur wenu Wa mawazo juu ya kujiendeleza kimasomo juu ya kozi ya uuguzi kwa level ya degree hivi kuna uwezekano wa kusoma faculty nyingne ila ya afya hiyo...
Vitabu vifuatavyo vimekuwa ni muhimu katika kuelewa namna bora za kushamirisha makuzi ya akili ya mtoto. Kwa wazazi na kwa wakufunzi wa vituo vya kulelea watoto, hivi vinaweza kuwa vya manufaa...
Wanajamvi naomba kuuliza he majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na mafunzo kwa vitendo yameshatoka? Kwa sababu TANGAZO linaonesha majina yatawekwa kwenye tovuti ya chuo lakini sijayaona mpaka...
Wakuu naomba kuuliza hivi unaweza kuapply mkopo kwa kutumia simu ya mkonon au mpaka uende kweny laptop ??? Samahani naomba msaada maana nimechelewa harafu hela sina kama inawezakana ni apply tu...
Napenda kuuliza 'medical laboratory technologist' anaweza kuajiriwa kufanya kazi kwa Mkemia mkuu wa Serikali,, na kama anaweza,, majukumu yake, yakoje huko?
Naomba kufahamu kiundani zaidi juu ya hiyo course ni sector zipi ninaweza nikafanya kazi nikiisomea.
Ninaaomba maoni na ushauri wenu wana JF brothers and Sisters.
SWALI: ASALAM ALAYKUM, SWALI NI HIVI, KWENYE SWALA YA DHUHA KUNA DUA MAALUM INAYOTAKIWA ISOMWE? NAOMBA MSAADA WENU.
JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa...
Habar wadau, mimi ni kijana wa miaka 21, nilifaulu darasa LA 7 ila sikuweza kuendelea mbele na secondary ila nilisikia kuwa kuwa Kuna QT, je QT inawezanifaa? Na pia nimeskia Kuna QT form 5 na 6 je...
Samahani naomba mwenye kujua kama tarehe ya mwisho ya kuomba mikopo imesogezwa au bado ni ile ile ambayo nilisikia mimi ni tarehe 15 mwezi huu.
Mwenye kujua chochote anijuze maana mpaka muda huu...
Salamu!!
Wale wote wenye hamu na uelewa wa kutosha nimeona DUCE wametoa master ya Arts with Education ambapo utasoma master ya ualimu na somo moja la kufundishia ambapo yapo matano unatakiwa...
Hey guys I'm asking for one who have the complete pages of the soft copy bellow,
s.chand's principlal of physics for class XI & XII
please just send me through my fb.account/my email...
Jimbo Katoliki la Ifakara linawatangazia watanzania wote kuwa, limefungua shule mpya ya Sekondari iliyosajiliwa kwa jina la ST. RAPHAEL SECONDARY SCHOOL na kupewa namba ya Usajili S.5061.
Kwa...
Nobo College of Pharmacy (NACTE Registration number REG/HAS/192P). Tupo Tabata Kisukulu. Tunatoa kozi ya Pharmacy katika ngazi ya Certificate na Diploma ( NTA level 4-6). Vigezo ni kuwa na minimum...
Habari wapendwa nimemaliza diploma ya maendeleo ya jamii (Diploma in community development)
Sasa nataka nisome degree ya maendeleo ya jamii kwa hapa dar sidhani kama kuna chuo kinachotoa bachelor...
Wakuu....hivi mtu akiisoma hii course ya community and development studies ataajiriwa kama nani?
Hii course nimeona ikitangazwa chuo cha ardhi msaada kwa wanaojua hii course tafadhali
Ukiangalia matokeo ya kidato cha NNE na sita ni ukweli usiopingika wanafaulu sana, lakin ukiangalia shule binafsi nyingi wanafunzi wanafundishwa mbinu za kufaulu mtihani na sio kuelewa mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.