Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau naomba kuuliza hivi humu ndani kuna aliyehitimu foundation program open university na akafanikiwa kuapply vyuo vingne nje ya open university? Leteni mrejesho
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu naomba msaada wa ufafanuzi anayeijua hii kozi. ukisoma soko linakua sekta gani ? unakuwa mtengenezaji dawa au tabibu? kuna market ya hii kozi? na mengineyo ambayo cjaulza napenda kujua
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu?naomba nipewe ufafanuzi juu ya hizi tetesi zilizozagaa kwamba ukitumia pen ya blue katika kujaza form ya maombi ya mikopo ya elimu ya juu kuwa ni makosa eti black pen ndo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za humu wakuu Aisee nahtaji kwenda kusoma nchini Uganda degree yangu ya sports science and physical education sababu za kusoma huko Bongo Hanna hiyo course Ila naomba mnisaidie naewzaje...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
habari wakuu, naomba msaada katika hatua yaa mwisho ya kukamilisha ujazaji a fomu za online za bodi ya mikopo katika kusubmit wamandika "PRINT AND SSUBMIT YOUR APPICATION FORM AND ATTAACHME''...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwalimu mwenye sifa ya ualimu wa shule ya msingi yaani Grade A anaweza kuendelea na diploma ya ualimu na ni chuo gani kina uwezo wa kutoa diploma kwa mwalimu aliye kazini anayetaka kujiendeleza...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nina ujuzi katika maeneo yafuatayo, 1. AutoCad 2. ArchiCad 3. Master Series 4. AutoCad Civil 3D 5. Excel n.k. Nina matokeo mazuri, nina uwezo wa kufanya kazi vizuri kulingana na specifications...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, naomba msaada kama kuna yeyote anayefahamu kuhusiana na tatizo hili.. Mwaka jana sikufanikiwa kupata mkopo ila nilipata nafasi ya kuchaguliwa chuo kimoja. Sasa baada ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wanajamvi? Wazazi siku hizi tumekuwa na hamasa kubwa ya kusomesha watoto wetu hadi elimu ya juu, tatizo kubwa wazazi wengi aidha tumeishia la saba au hatukusoma kabisa. Sasa matokeo ya...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Naombeni msaada kwa mfadhili niweze kusoma wildlife management ndugu Kwa ngazi ya degree nipo tayri kufanya nae mkataba nikimaliza nimudishie garama zake tafadhari naomben msaada kwa hili.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu habari zenu nahitaji nikirudi nyumbani nisome kozi moja hapo udsm kama mambo yangu yasipoenda vizuri ya kuendelea kuwa huku mg'ambo , kwa wanaofahamu naomba wanisaidie japo kujua kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sorry naomba kuuliza kuhusu mkopo wa elimu ya juu, kwamba itakuaje kama utaomba mkopo then ukaomba chuo then ukashindwa kuomba chuo katika round ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali ukaja...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeona kwenye website yao kwamba upcoming course yao itakua bachelor degree in community development kwa anayejua hii inaanza lini? Halafu pia wanayo gender and development vipi hiyo course...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau naona round ya kwanza deadline ni kesho nina chet kamili cha diploma bt sina tranacpt jee kwa mloomba vyuo kuna mahali panataka transcpt???
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Kwa anaefahamu hyo shule anijuze Kama bado wanatoa nafasi za kujiunga kwa kidato cha kwanza Je gharama ya form ni kiasi gani?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani msaada ni utaratibu upi unafatwa wa kupata Avn number nacte?maana nimeambiwa deadline kwa awamu ya kwanza ni august kumi Na jee hiyo avn inachukua siku ngapi kuipata?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Naomba yeyote anayejua Chuo kwa ajili ya kusomea mambo ya Maktaba na Secretary kilichopo Dar es salaam anisaidie.Chuo kiwe kina usajili unaojulikana na kiwe na Hostel.Nahitaji kumpeleka binti...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mpwa wangu kamaliza Mbezi High School na division one point tano HGK. Form four alipata division 3 point 19 ikiwa na F hesabu. Namfahamu vizuri sababu anakaa kwangu. Nilitegemea kabisa apate...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Baada ya matokeo ya kidato cha sita kutoka jana leo kumekuwa na thread nyingi ,vijana wengi waliohitimu wakijaribu kutafuta ushauri kutokana na alama walizopata Lakini moja ya tatizo nililo liona...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
wakuu naombeni mnisaidie tofauti kati ya chuo cha wanyamaa pori mweka na chuo cha wanyam pori pasiansi na kwanin mweka ada yao ni kubwa sna? Msaada wenu wakuu
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom