Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habar zenu! Nimemaliza diploma mwaka huu, katika process ya kupata AVN kuna sehemu ya kujaza additional qualification swali langu ni kama nina cheti cha form six nikiadd au niache kwa kua nina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar zenu! Nimemaliza diploma mwaka huu, katika process ya kupata AVN kuna sehemu ya kujaza additional qualification swali langu ni kama nina cheti cha form six nikiadd au niache kwa kua nina...
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Habari wanabodi Napenda kuwauliza hawa watu wa TCU pamoja na open university mwaka Jana tume ya vyuo vikuu TCU iliutangazia umma ya kwamba wamerudisha program ya foundation kwa wale wahitimu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu zangu nlikua naumba ufadhili wenu kwa yeyote atakae pendezwa ili niweze kusoma io kozi ambayo nina passion nayo tokea niko mdogo na ni ndoto yangu kuisoma ndugu zangu nawaomba msaada kwa hili.
0 Reactions
2 Replies
953 Views
Kuna hili swali lnantoa povu mwezi sasa cjui nliluka stage au vip 6x=9exponent x
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bsc in Mechanical Engineering ndio program nnayoichukua ktk Chuo kikuu cha DSM pale mjini Kati CoET, M/Mungu akijalia mapema mwez wa 11 ntakuwa nauanza Mwaka wangu wa tatu. Kabla sijafika Chuo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu? Hvi kwel naweza kwenda kusoma Udsm kwa dv 2 ya 12 especially coz ya Bachelor of Science in Agricultural and natural resources economics and business administration?
1 Reactions
31 Replies
7K Views
1.Nataka niisome hii course ya bachelor degree in community development nilisoma diploma yake pia sitaki nichanganye course hapa dar ni chuo gani cha uhakika wanatoa hii?? 2.Hvi jamani pia kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wapendwa naomba msaada wa lists ya vyuo vinavyotoa degree ya pharmacy Tanzania ukiacha.
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari wana jm ntaka nifahamu kwa mtu aliye chaguliwa chuo moja kwa moja kutoka form4 je anaweza kuomba mkopo heslb asante
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vikao ndo kitu gani nimeulizwa kwenye registration ya AVN na pia namba ya mtihan sijaelewa naandikaje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wadau anayefaham hii kozi ya community development anijuze kidogo mana bado npo kwenye Giza Nene je mtu ukisoma hiyo kozi utafanya kazi ipi mim ni mwihitimu wa kidato cha sita 2019...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa anayejua chuo cha mafinga Na ada yakee plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu.!! Juzi kuna kijana nilimfanyia application ya chuo, Nilianza na UDSM nikafungua account wakanipa control number nikalipa 10,000 nikaweka machaguo mwisho nika submit...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Natarajia kuanza mwaka wa kwanza katika chuo cha mipango Dom, course ya Development Administration and management. asa nataka kujua ni masomo gani nitayasoma ndani ya hyo course. wakuu naomben msaada.
0 Reactions
3 Replies
662 Views
kuna dogo namsaidia hapa lakini kila nikituma taarifa hazileti majibu, kwa wenye uzoefu wa elimu hizi za nyumbani kwa diploma nipeni msaada nimsaidie dogo
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wapendwa kama nataka kusajiri NGO ...ni ngo itakayofanya kazi na shule tu ..zote za serikar na private naanzia wapi? je wizara inasajiri? nahitaji nini na nini? nifungueni macho wapendwa...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
JF patrons: Does anyone of us know what the hell the National Board of Accountants and Auditors (NBAA) is doing? Does the Institution even have key performance indicators (KPI) against which it...
5 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa courseu ya diploma uuguzi na ukunga(nursing and midwifery) kilichonileta hapa ni kuomba msaada wa mawazo kwa ninashindwa kulipa ada kutokana na matatizo ya...
1 Reactions
1 Replies
978 Views
Back
Top Bottom