Mkurugenzi Wa TCU amedai kuwa asilimia 70 ya wahitim kidato cha sita kuna uwezekano mkubwa Wa kushindwa kupangiwa vyuo kutoka na taarifa zao kuwa kinyume na zile za maombi ya mkopo,haidha...
Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Je kuna soko la online Open University ya binafsi Tanzania? Nilikuwa na maongezi na kiongozi wa foundation moja ya kimarekani tukaja na idea ya kusajili Tanzania chuo kikuu cha online kwa ajili ya...
Wakuu hii course ya bachelor of arts in community and development studies ukisoma hii course katika kuajiriwa unaajiriwa katika kitengo gani au cheo gani?
Kama unavosikia kila siku watu wanalalama ajira ngumu,vyeti mkononi kiguu na njia kila siku..je kwa wahitimu au wale wanaotaka kwenda vyuoni miaka hii ni kozi gani nzuri kusoma..ambayo kupata...
Hello,
karibu sana [UDOM] Bachelor of science in chemistry ni faculty ambayo inapatikana katika collage ya natural and mathematical sciences.
wengi huwa wanachanganya hudhani ni faculty ya...
Naomba kujua kama dirisha la awamu ya kwanza la usajili wa ngazi ya 'degree' limeshafugwa au bado maana niliambiwa na mtu kuwa mwisho ni tarehe 10 mwezi wa 8 kwa awamu ya kwanza. Nilikuwa...
Habarini!
Naomba Kujua Natakiwa kufanya nini kwasababu cheti cha O-Level na Transcript kutoka Nacte Majina Hayafanani Kile Cha Nacte Kimekosewa Nikifanya Application Inakataa nini natakiwa...
Habari wana JF mm ni mgeni humu ningependa kujua jinsi ya kujiunga na chuo cha lugalo millitary college msaada kwa alie someapo au anae jua utaratibu wa kujiunga nao kwenye course ya clinical...
Naombenii ushauri jamni nimechaguliwa kwendaa chuo cha midwive&nursing lakin sitakii hiyo course nilikuwa naitajii kwenda clinical officer nitafanyaje.Na kuna uwezekano wa kusoma diploma na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.