Naomba kufahamu,kuhusiana na master's degree Udsm...
1. Dirisha limefungwa tayari?
2. Utofauti wa "master's degree in mathematics" na master's degree in mathematical modelling" .
3. Je kuna kozi...
Wengi wanaweza kujiuliza kuwa Hii avarta nayoitumia ni ya nani hasa?
Wengine wanaweza kwenda mbali zaidi na kusema labda mpenzi wangu mpya au wale wastaarabu wanaweza sema labda ni dada...
ndugu zangu naomb kujua kam ni kweli majina yametolewa na body ya mkopo kwa waliojaza fom vbya na kam kuna taarfa zaid kuusu body ya mkopo naomb tujulishane
Kumekuwa na mjadala ya kwamba walimu wanaomaliza ngazi ya stashahada ni mahiri zaidi kuliko wale wanaomaliza ngazi ya digrii, binafsi nimejaribu kujiuliza baadhi ya maswali tafakuri lakini hadi...
Wakuu naomba msaada kati ya hizo kozi mbili ipi ni kozi bora na yenye umuhimu sana kwenye maendeleo ya viwanda na aina za career mtu anazoweza kuchagua akisoma kozi hizo
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuongeza muda wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao kwa siku saba hadi Ijumaa, Agosti 23, 2019 ili kuwapa fursa waombaji ambao...
1)Nimesikia kwamba ukipata asilimia 0% maana yake eti tuition fee hupati hata senti tano ila boom unapata.
2)Pia nimesikia ukikosa mkopo mwaka wa kwanza unaweza ukaomba mwaka unaofuata na ukapata...
Wana JF habari,
Mimi nmemaliza form 4 mwaka 2017 nilipata matokeo ambayo sio mazuri sana, nlipata F ya math na D 3 na C tatu. Nikaamua kurisiti mwaka 2018 na kufanya math ambayo nlikua na F na...
Habari waungwana naomba kuuliza kwa yoyote anayejua hili naomba anisaidie , wakati wa kufanya maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa wale diploma holders kuna sehemu ya ku-attach matokeo ya diploma ...
Napenda kuwakaribisha wahitimu wa kidato cha sita na vyuo vya Diploma wanaopenda kujiunga UDSM kwa kozi mbalimbali. Wanaweza uliza swali lolote na watajibiwa vyema kabisa
Chini 👇🏻ni link ya group...
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu nilikua nauliza ni Kozi ipi bora kati ya Pharmacy na Radiology interms of ajira pamoja na kujiajiri na Muda wa kusoma naongelea kwa Ngazi ya diploma na...
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu nilikua nauliza ni Kozi ipi bora kati ya Pharmacy na Radiology interms of ajira pamoja na kujiajiri na Muda wa kusoma naongelea kwa Ngazi ya diploma na...
Ukiangalia matokeo ya kidato cha nne na sita ni ukweli usiopingika wanafaulu sana, lakin ukiangalia shule binafsi nyingi wanafunzi wanafundishwa mbinu za kufaulu mtihani na sio kuelewa mazingira...
habari wakuu?. kuna ndugu yangu amechaguliwa moja kwa moja kutoka kidato cha nne kujiunga na masomo ya ngazi ya diploma katika chuo cha TUMBI Tabora. katika ulipaji wa ada kuna wale wa goverment...
Habari wandugu!
Kwa yeyote anayefahamu juu ya chuo cha MUSOMA UTALII Tabora campus hasa kwa upande wa utoaji wa health courses, mazingira na sifa zao!
Asante
Habari zenu watanzania nilikua nauliza kama naweza soma masters of business administration kwa G.P.A ya 2.7 kwa mwaka wa masomo 2018/2019...kama mnafahamu tafadhari naombeni mnijuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.