Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
?
Kunaambae ameshafanya application second round muhas,kcmc, bugando au udom?
0 Reactions
2 Replies
521 Views
Wakuu kama kichwa cha habari apo juu kinavyosomeka, nmechaguliwa kozi nzuri kinoma. Kozi inalipa, kozi naisoma mimi tu, hii ntaweza kuwaisaidia waty wengi mnoa. Wakuu saivi saa ngapi niamke...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeomba chuo fulani lakini nilipoangalia tena taarifa zangu baada ya kufanya submission nikakuta kwamba nimekosea tarehe ya kuzaliwa(nimechanganya mwezi na tarehe). Lakini kwenye kipengere cha...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Habari wakuu Kuna hawa Nacte na Wizara ya afya wanafanya course ya nursing idharaulike kwa mambo wanayoyafanya 1..Mara wapandishe vigezo vya kujiunga kutoka CCD kwa PCB respectively na kurudi...
0 Reactions
2 Replies
599 Views
Wanajamvi naomba ushauri kidogo, mdogo wangu kachaguliwa Course zifuatazo ameniomba ushaurii ipii "aconfirm" Course ya Kwanza..... Bachelor of Science in Agricultural and natural resources...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi. Bila shaka watu wengine mtakuwa mmeona hiki kitu kama nilivyoona mimi. Nashindwa kuulewa hii kozi ya diploma in computer science itatolewa hapo chuo kwa mwaka huu au la! Kwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu wanashindwa kuelewa tu malengo ya kuanzishwa kwa Loan Board nchini. Bodi hii haikuanzishwa kwa lengo la kumsomesha kila mtanzania bali kwa kusaidia tu pale inapobidi na kuhitajika. Kwenye...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Tangu shule za msingi hadi secondary kulikua na vitu fulani ukitaka kucrem bas unatengenezea formula au ka wimbo flani. Mfano: Halo hemedi lile beberu bora chinja na ondoa figo nene na mgeni...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naombeni msaada nimesomea HGL Je, ninaweza kusomea nini kwa sasa ambacho kitaniwezesha kujiajiri au kuajiriwa encase kimoja hakijawezekana kingine kitumike kuendelezea maisha.
1 Reactions
42 Replies
7K Views
HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20. 📌WANAHITAJIKA WATANZANIA KWENYE VYUO 39 CHINA. 💰SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA CHINA ITAKUPA VITU HIVI: ▪Gharama za...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
kwa yeyote anaejua naomba anisadie nimwanafunzi nilihitim diplom mwaka huu shida nikwamba cjaweka kupata AVN kwa sababu detail zang hazionekani nacte nimeenda chuo wameniambia wameshindwa kuaply...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mdogo wangu ana ufaulu wa Kiswahili B Language E History E Wakati wa kuomba chuo aliomba Education Udsm( muce na Duce) Education Udom Lakini pote hajapata, vipi raundi ya pili aombe vyuo gani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu. Naomba kufahamu sehemu nzuri ambayo wanatoa mafunzo ya computers kwa jiji la Dodoma tofauti na vyuo vikuu vilivyopo apa jijini.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
NIT
Wale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!!
0 Reactions
13 Replies
976 Views
Uzi huu upo kwa lengo la kuwaunganisha wana Maabara wote. Karibuni. - uliza chochote kuhusu fani hii - Na wale mnaoingia mara hii katika fani hii karibuni pia.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu jinsi siku zinavyozidi kwenda wadogo zetu waliomaliza kidato cha NNE wanatusumbua kila kukicha tuwaulizie mambo ya kozi za chuo. Je, wapi huyu dogo anaweza kusomea mambo yamaabara hususani...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mwaka huu form four walichaguliwa moja kwa moja kujiunga na vyuo bila kupitia NACTE (VYUO VILIVYO CHINI YA nacte). CONCERN YANGU NI HII: almost vyuo vingi vimejaa AU VIMEBAKIWA NA CHINI YA 1/8...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi nawasalimu, Ndugu zangu napenda kuuliza utaratibu wa kuomba kuhama chuo kwa mtu aliyepangiwa chuo na NACTE. Kwa mujibu wa maelezo ya NACTE kama ilivyoelezwa hapa chini: Na tangazo...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Na
Nimemaliza kidato cha 6 HGE matokeo yamekuja 3 ya 15 natamani kurudia mtihani ila wazaz wanataka niende diploma kipi ni sahihi?
0 Reactions
7 Replies
815 Views
Back
Top Bottom