Wanajamvi naomben kujua kati ya bachelor of science in economics and finance VS bachelor of public sector Accounting and finance ipi nzr na ina upana wa ajira na kujiajiri?
Here is an excerpt on introverts: Read on...
10 Myths About Introverts
Introverts are people whose energy tends to expand through reflection and dwindle during interaction. They...
wakuu kama kichwa knavojieleza nlipata GPA ya 4.0 ya clinical medicine lakini fist round niliapply vyuo viwili yaan muhas na udom lakin kote sikupata je wakuu itakuwaje maana nasubili second round...
Wakuu mimi niliomba vyuo viwili saut(bachelor of arts in economics)na IAA(bachelor of economics and finance)sasa IAA walichelewa kunitumia taarifa km nimechaguliwa nikawa tayari nimecomfirm saut...
Habari wakuu....kuna kitu kinanichanganya hapa....
Inakuaje mtu mmoja anapewa mkopo wa asilimia 100% mwingine anapewa 10% na mwengine 60% na mwengine 50%
Pia napenda kujuwa vipi wanaosoma...
Habari zenu wakuu..
Kuna mdogo wangu kachaguliwa kozi inaitwa management in social development pale mwalimu nyerere memorial academy ana chukua degree katika hii kozi..
Sasa yupo hapa namwona...
Habari ya saiz wana jamii.
ninaomba msaada wa kisheria katika hili.
je HELSB ACT imetoa maelezo yoyote kuhusu mda ambao mtu anapoajiliwa anatakiwa aanze kulipa marejesho.
1. je ni kwamba ni...
Hawa ndio waliopata vyuo katika raundi ya 1 ya kuomba vyuo.
Aidha kwa wale waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wanapaswa kuthibitisha chuo kimoja kwa kutumia kodi maalumu watakazotumiwa kwenye...
Wakuu Natumai hamjambo, kuna mdogo wangu kasahau email aliyoingia Kwenye chuo cha NIT msaada kwa anayejua zaidi maana najaribu hata kuwapigia namba hazipatikani kabisa anahitaji kuangalia...
wakuu naomba kujuzwa kuna sehemu nilisikia watu wakilizungumzia hili kuwa kuna mashirika huwa yanatoa mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kama heslb.. Kama kuna mtu yoyote anaejua hayo mashirika...
Jamani msaada mdogo wangu kachaguliwa et food science UDSM na udaktar wa mifugo SUA.Sijui alijaza vip huyu mtoto.
Sasa afanyeje?ingawa UDOM bado hajapata corfimation ya selection.
Ana 1.8 PCB...
Nawakumbusha tu vijana wa form six mnaoomba nafasi msisahau kuomba na hii programme wengi wanaidharau lakini kadri miaka inavyoenda na ndo inazidi kutambulika na watu kuona umuhimu...
Habar za muda huu wajomba, naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu topics za algorithms na material yake kwa wanafunzi wa cs/ se/ ce wa vyuo hivi udsm, udom,dit. Niko open university IT ,topic ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.