Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kuulza kwa matokeo haya Phz-D Chem-C Bio-C Math-D Englsh-C Niombe chuo gani cha afya cha serikali ili iwe rahisi kukubaliwa? Ushauri plz
0 Reactions
13 Replies
3K Views
IT Question (sets topc). Plz help. In a competion a school awarded medal in adifferent categories. 36 medals in dance, 12 medals in dramatical and 18 medals in music. If these medals went to a...
0 Reactions
4 Replies
668 Views
habari za humu ndani wana jukwaa. niko na shida ya kupata scope na general description ya Bachelor degree of technology in Laboratory sciences inayotolewa pale DIT kitaaluma na fursa ya kujiajiri...
0 Reactions
2 Replies
625 Views
Kiukweli staki kuwakatisha tamaa ila kama kweli unasoma ili uje upate ajira ya uhakika ni ualimuu tuu..... Kama haupendi ualimu basi mjiandae kisaikolojia mje kujiajiri mapema kabla ya kumaliza...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanafunzi wa shule za msingi hata na wa sekondari jaribuni kupima number zenu hapa:
4 Reactions
37 Replies
9K Views
Kuna kijana amemaliza F4 Div II points 20 Credits ziko vizuri anataka afanye EGM au ECA ili baada aje afanye Bcom/BAF Lakini kuna wazo kwanini asianze kusotea CPA/ACCA Kuna advantages na...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu... msaada wa kimaelezo tafadhali kwa anayeifahamu kozi ya health systems management inayotolewa na Mzumbe University
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, nilisikia bunge limepitisha mswada wa kuzuia wasiosomea ualimu kufundisha! (Yaani kama hujasomea ualimu huruhusiwi kufundisha). Lengo likiwa ni kuboresha sekta ya elimu. Je, sheria...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waungwana sorry mwenye kujua process za kupata iyo kitu apo kutoka nacte , naomba kujua steps zake
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Wanaomba kuuliza hivi ile namba ya simu ya TCU iliwekwa kwa ajiri ya kazi gani? Haiwezekan karibia wiki ya tatu hii napiga tu inaita lkn haipokelew hivi hawajui wapo pale kwa ajiri ya sisi...
0 Reactions
4 Replies
902 Views
Naomba kujuzwa kwa anaesomea diploma maalumu ya ualimu wa physics and biôlogy je vitabu vya aina gani napaswa kua navyo vitakavyo weza nisaidia katika masomo tajwa chuoni pia ningependa kujuzwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazee naomba kuuliza kati ya hizi kozi mbili Oil and gas engineering na Electrical and electronics Eng ipi soko lake LA ajira limekaa sawa baada ya kuhitimu?
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Habari wana JF Naomba ushauri kutoka kwenu waungwana; Nilimaliza kidato cha IV mwaka 2011 na kufanikiwa kupata alama ambazo ni za kawaida kama ifuatavyo: Basic Mathematics-C Chemistry-B...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba CV ya Musiba
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Wakuu habari ya wakati huu, samahani nahitaji kumfanyia Application mdogo wangu katika ngazi ya Stashahada/Diploma kupitia NACTE nimekutana na maelekezo yanasema 10,000/= per Institution na sio...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, mdogo wangu amesoma B.A in Public Relations and advertising pale UDSM, kasugua Gaga mtaani miaka miwili Sasa ameamua kusoma diploma ya Clinical medicine chuo flani, Sasa je Kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani Kwa usumbufu wana JF, Naitwa ABDALAH HAMISI, Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2014 nikapata "C" mbili, "D" moja, "E" tatu na "F" moja.... Kwamaana nina GPA ya 0.7 Swali langu: Naweza...
0 Reactions
3 Replies
38K Views
Wakuu natarajia kupiga mtihani wa CPA novemba 2019, please mwenye vitabu, na paper review za karibuni tuwasiliane naweza mpa fedha kidogo, njoo pm
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari wakuu, mdogo wangu amesoma B.A in Public Relations and advertising pale UDSM, kasugua Gaga mtaani miaka miwili Sasa ameamua kusoma diploma ya Clinical medicine chuo flani, Sasa je Kuna...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Ndugu yangu amemaliza form 4 mwaka 2006 na form five 2009,na ameomba diploma za afya mwaka huu,je anaweza akapata ana Phy C, chem B na Bios D.
0 Reactions
6 Replies
695 Views
Back
Top Bottom