Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Samahani wakubwa ivi kwa aliyesoma au anaejua comb ya HKL eti kuna coz nyingne ambayo ni rahisi kupata ajira ata kama serikali itachelewa kutoa ajira kwa anaejua basi atuambie wadogo zenu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman najua watu mnauelewa na kozi nilikua naomba ushauliwe nikasome kozi ipi kati ya izo ambayo itakua na uwanja mpana wa ajira wakuu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nimemaliza chuo kikuu. Natafuta chuo nitakachoweza kusoma event planning and management short course. Kwa anaefahamu naomba msaada
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sorry wadau , najua baadhi yenu humu ndani ni watu waliotangulia na kuona wapi palipo sahihi na wapi sio pa kukurupuka, naomba kujuzwa course ipi hapo nikaruke nayo?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
huu ni mfano wa namna ninavyotoa huduma ya distance learning program Kama unamaswali yeyote ya physics ,mathematics na chemistry kwa level zote unasaidiwa vizur kwa weledi wa hali ya juu ni Mimi...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Tangazo tangazo yule mbobezi,fundi ,mtaalamu wa masomo ya sayansi physics ,mathematics na chemistry shebby maconcept kutoka chuo kikuu cha dar es salaam anawatangazia home tuition program kwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Tangazo tangazo yule mbobezi,fundi ,mtaalamu wa masomo ya sayansi physics ,mathematics na chemistry shebby maconcept kutoka chuo kikuu cha dar es salaam anawatangazia home tuition program kwa...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Habari Wana JF Kipindi cha usajili kinaenda kumalizika sasa, naamini wengi wetu huku tumetumia hii mifumo ya usajili na kuona jinsi inavyofanya kazi. Sabab tunatumia mifumo tofauti kwa kila chuo...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
....
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Wajuzi wa mambo naomba mtusaidie kujua nini hapa kinachosababisha bunduki kuchelewa kutoa sauti kabla ya risasi kutoka.kwa uwelewa wangu nilikuwa najua sauti inatoka kwanza kabla ya risasi kufika...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtihani wa advance nilifanya masomo ya Chemistry-B Mathematics-C na Education-D Div 1.9 Natamani kwenda kusoma software engineering ila naona guidebook ya TCU inataka physics je hakuna njia...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Je Ni mbinu gani naweza kutumia kufaulu kwenye combination yangu ya EGM maana naona watu wengi wana nitisha sana kwamba comb hii ni ngumu na ningumu kufaulu naombeni ushauri wenu Jaman...!
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Samahani wakuu mdogo wangu ameniambia kuwa ameapply chuo ila nahisi no muongo naomba msaada no namna gani naweza kuhakiki
0 Reactions
5 Replies
904 Views
Naomba kujua siri ya kufaulu ili somo kwanza nahitaji kujua ni vitabu gani vya kusoma? Harafu pia nitapata wapi solved practicals za physics? Hivi ni kweli ili ufaulu physics inabidi ufoji...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Wakuu ni courses gan nzuri anaweza pata mtu mwenye Div 2 ya 10 (phyz-C,chem-D&Bioz-C)? Msaada wenu wakuu
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Habari Wana Jf...naomba kwa alie na ujuzi anasaidie,Leo nilikuwa nafanya application ya Loan board Lakin kila nikiingiza namba ya form four (index number) na ku-cofirm Sipati namba ya Malipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba msaada tafadhali ninafanya aplication online kwenye chuo cha arusha technical college ngazi ya diploma sasa nimefika step ya employer, position held nikashndwa kwa sababu mim sijaajiriwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samahani sana Wadau. Kuna dogo namuombea chuo. Lakini majina yake aliyotumia kidato cha 4 ni tofauti na majina aliyoyatumia kidato cha 6. Na kwenye kuaomba vyuo mambo yamegoma. Naomba kufahamu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
kama kichwa kinavojieleza niana ndugu ambae anahitaji ku aply kozi ya MASTERS IN NATURAL RESOURCES MANAGEMENT NRM Kwayeyote mwenye kufaham ni taasisi zipi ambazo mtu akisoma hiyo koz anaweza enda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau Tafadhal naombeni documents zinazoonesha mabadiliko hayo
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom