Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu napata shida kidogo kwenye application za undergraduate za SUA,,, kila nikitaka ku register in fail kwa ambae kashafanikiwa ku apply chuo hiki naomba msaada plzzz natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Wasalaam wakuu. Mwalimu tajwa hapo amekuwa ni kero kubwa hapa chuoni. Amekuwa na tabia ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi. Kwa mfano, sisi ametufundisha Financial Markets mwaka huu, na kwa...
5 Reactions
100 Replies
25K Views
Anaejua ada ya Advanced Driver’s Grade Two ( VIP) pale NIT anijuze ni kiasi gani
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Wakuu Habari za muda huu.. Samahanini naomba mwenye ufahamu na kozi ya health system management inayotolewa chuo kikuu cha mzumbe anipe maelezo kidogo... Hii kozi inadeal na vitu gani na baada ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani Naomba anayejua chuo kinachotoa certificate ya HIV Counselling and testing anijuze
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu zangu wapendwa,naomba kujua hii foundation course inahusika na nn,na vigezo vya kujiunga na kozi hii ni vp,pia masomo yanayoambatana na kozi hii ni yap? Kwa anaejua chochote juu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamiiforum wenzangu.. Naomba mnisaidie,,,Akaunti yangu ya rita imegoma kureset password baada ya mimi kubadili password za email yangu,,,Rita wanataka nireset password lakin kila...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wana jamvi Naomba msaada kuelekezwa juu ya HEALTH SYSTEM MANAGEMENT Na ni vyuo gani vinatoa haya mafunzo. Natanguliza shukrani zangu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kuna jamaa yangu amehitimu form 6 mchepuo wa HGL, amepata History E, Geography E na language D, sasa ameniuliza kuwa kuna uwezekano wakupata nafasi ya kusoma degree?? Maana alikuwa anamalengo ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu kama heading inavyojieleza haya hapa ni matokeo ya dogo langu liko chuo, Sina ufahamu sana n hayo masuala ya GPA.. Je kwa matokeo haya niendelee kumlipia dogo ada au ni chengaaa
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jamii forum kama kuna mtu kajaribu kufanya application leo kwa vyuo vya udsm, Mzumbe na udom anipe details, maana nimejatibu had nikalipia but kipengele cha index number kinagoma kuleta matokeo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kwenye kuomba mkopo wa elimu ya juu, kuna ulazima wa mzamini kua mzazi wako? Kwa anayejua naomba anifahamishe
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mambo vip wanajukwaa? Kwa wazoefu naomba Msaada, nina mdogo wangu alidahiliwa kwenda chuo kikuu cha Dodoma mwaka 2013 kwa points 3.0 yaani D na E, kwa wakat ule wanafunzi walidahiliwa kwa hizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimemaliza chuo kikuu. Natafuta chuo nitakachoweza kusoma event planning and management short course. Kwa anaefahamu naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jf ni matumain yangu kuwa wazima ningependa kuwakarbisha wote ambao mpo kwenye medicine na wanaotaka kuingia ili tujuzane
1 Reactions
3 Replies
675 Views
Jamani mimi nataka nijiendeleze kielimu, kuanzia kidato cha 1 na kuendelea. Nataka nianze kwanza na English Coure, ile English ya kuandika na kuongea kabisa kama nakunywa maji. Ikiwa bweni au ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimemaliza form six katika mchepuo wa PCB na nimepata two ya 12. Kama ifuatavyo CHEM C BIOS C na PHY S. Ndoto zangu ilikuwa kusoma course za afya hasa udaktar ila kwa matokeo haya na kwa maelezo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jb
Jamani nisaidie chuo cha watu wanao fanya kazi bandari kinaitwaje
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Wazazi wasiwe bize na utafutaji Maisha. Pia wawakumbuke wanafunzi kwa
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Bachelor of Urban development and environmental management Hii koz ndo ikoje? Msaada tafadhari?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Back
Top Bottom