Wana Jamii forum wenzangu naomba kuuliza kwa wale wenye uelewa kuhusu vyuo vya kilimo vilivyopo mkoani mbeya anidadavulie na kuviorodhesha ili niweze kuvijuwa.
Nimesoma community development ngazi ya cheti Chuo kikuu cha iringa nataka niachane na hii course je ni course gani naweza soma diploma nyingine kulingana na hii nilio anza nayo?
Habari wanajamvi. Mdogo wangu ni mhanga wa multiple selection kwa vyuo viwili tajwa hapo juu. Mpaka sasa bado hajatumiwa code na yeye yuko Kambini JKT.
Sasa naomba tuunganishe nguvu kwa...
Kama ni mwl wa chemistry Tanzania tukutane watsap, bofya link kujiunga Na grupu la walimu wa chemistry Tz
https://chat.whatsapp.com/BhsKUleWl9B6x6A629FB93
Aliyefanikiwa kuomba Chuo cha Mipango Dodoma tafadhali nahitaji msaada kwani mfumo wao huauhifadhi matokeo kidato cha sita,hivyo inakuwa vigumu kuendelea na hatua nyingine.
Hello.
There is a WhatsApp group for Dar es Salaam home tuition teachers network ....when i say home tuition teachers I mean those teachers who teach at home basis by visiting students to their...
Naomba kuuliza hivi mtu aliemaliza diploma ya clinical medicine kwa GPA ya 4 na anataka kuomba degree.je anaweza kubaliwa kujiunga ikiwa cheti chake cha form four kina D za masomo ya sayansi...
Habari wadau, na poleni na miangaiko ya maisha. Nilikua nauliza kama kuna sehemu wanatoa Certificate ya Mafunzo ya HR, kwa mtu alie tayari na Degree ya HRM, maana kazi zinatoka na wanaulizia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.