Jmani za asbh wana jf, naombeni msaada kwa yoyote ambae anaifahamu shule nzuri ya private ambayo inafaulisha vizuri pia. Ada yake isizid 2m nashule iwe tanga, moro, pwani na dodoma
NB: Iwe ina...
Kuna ndugu yangu amesajili masomo saba katika CSEE 2016, na hakuweka English. Lengo awe Dokta kwa kuwa miongoni mwa masomo yake anayorisiti ipo Phy, Chem, Math na Biol.
Je naweza kubadili usaji...
Habarini za muda wakuu. Naombeni mnisaidie kunielewesha maana nimejisajili nacte ili nifanye application ya diploma kama zinavo onekana kwenye guidebook yao lakini baada ya kulipia nakuta course...
Mtu mwenye Masters ya Nursing for possible connection ya PhD. Nimeongea na Prof. already so that means mguu mmoja ndani tayari sababu PhD nyingi za USA connection ni muhimu na Prof akisema...
Friends nimemaliza form six mwaka Jana nilikuw naomba mnisaidie ntaweza kupata. wapi course ya airline management iwe ya online au ya kawaida tu sisomi kwa ajili ya vyeti nasoma kuelew how...
Naomba msaada waungwana hicho chuo kikuu kinapatikana dar mazingira yake yakoje,
je kina ushindani mzuri na vyuo vikuu vingine hapa Tanzania? Naomba msaada.
Wakuu habari,
Naomba mnisaidie, nafanya malipo Loan Board ktk control number niliyopewa tangu juzi ila inanijibu kuwa, huduma hii haipatikani kwa sasa.
Na nimejaribu kulipa kwa tigo, voda...
Habari watalamu wa mambo!!!
Husika na kichwa cha uzi hapo juu
Naomba kwa mwenye uelewa kuhusu chuo cha ualimu kleruu nahitaji kujua kuhusu mazingira yapoje masomo yanayofundishwa na pia...
Nimeona taarifa hiyo hapo chini katika tovuti ya Tamisemi, ikisema wale wanafunzi 48 waliopata Div III walitakiwa kurudishwa kwenye shule za kawaida za A-level kwa kuwa hawastahili kupata Div III...
Naandika hivi kwa sababu hii nchi ina mshangazo mkubwa sana!
Watu waliokuwa likizo bila malipo, na wengine walioomba kurudi kwenye kazi zao, au ajira mpya, kiukweli kuingia kwenye payroll...
Kwa anaekifahamu chuo cha Bagamoyo school of nursing naombeni anisaidie kujua napataje joining instruction. Maana chuo hakina website na nimejaribu kuingia account yangu ya NACTE haifunguki tena...
Habari,
Now ndo time ya kuomba vyuo kwa waliomaliza six, watu wa diploma sorry sina uzoef, naandiika uzi huu naamini utapata chochote cha kukusaidia, mana nilipita huko manusura nifanye machaguo...
Mwenye kufahamu, kuna mwanafunzi ameomba hicho chuo Dodoma lakini kila akiingiza result za form 6 inaandika wait unapo save results kwa muda mrefu bila respond. Tafadhali msaada.
mwaka jana yaani 2018/2019 nilidahiliwa na chuo flan hivi na nilisoma kwa semester moja tu baada ya mambo ya pesa kuwa magumu nilitimka sikutoa taharifa hata kwa dean was faculty yangu na mwaka...
habari JF napenda kufahamishwa hili, hivi wanafunzi walioomba mkopo wa bodi kwa elimu ya juu maombi yao ya kukubaliwa yatajibiwa kabla au baada ya kulipoti vyuoni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.