Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Udahili utafanyika vyuoni moja kwa moja isipokuwa vyuo vya afya na ualimu vya serikali. In a nutshell! Baraza linapenda kuwataarifu wadau wa sekta ya Mafunzo ya Ufundi na Umma kwa ujumla kuwa...
4 Reactions
210 Replies
104K Views
Wakuu habari za muda huu............kwa wale tuliofanikiwa kufanya interview za ufadhili wa masomo China pale katika ubalozi wao kitengo cha uchumi na biashara zijulikanazo kama MOFCOM ni nini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari zebu? Niende moja kwa moja kwenye Mada Nchi nyingi sana hasa ambazo hazina maendeleo Makubwa zimewekeza sana katika mfumo wa elimu ambao ni rasmi yani mtu anaenda shule anafundishwa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba kuuliza app ambao naweza kupunguza picha ili ni upload kwenye form ya loan board wanataka iwe pics 150
1 Reactions
2 Replies
976 Views
Habari za majukumu wanajamvi, nmefanya application mbeya university of science and technology (MUST) na nimelipia application fee ila ni Siku ya tatu hakuna apdate yoyote kuonesha nimelipia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni ushauri Nina mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu kapata chemistry D, biology D, na Geography D , bam E na GS D. Je tofauti na case ya kusomea ualimu , je n kozi gani nzur ambayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu humu ndani, naomba msaada kwa anaejua tuition fees kwa course za Masters hasa ya MBA pale Open University of Tanzania mana nmehangaika kugoogle nmeshindwa. Asanten sana
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau Hivi shida iko wapi? Au shida iko kwenye server zao hawa jamaa Maana najaribu ku request kupata control no. Ila inaniambia "currently no connection" sometime ni infinity loading...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habar kwa wale waliopiga foundation open university mnataarifiwa kuwa transcript tayari zimeshatoka zinapatikana makao makuu DAR na ndizo zitakazotumika kuomba vyuo mbalimbali kwa ngaz ya digrii
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu natafuta ichi kitabu cha Complete advanced biology form 5 mwandishi sir.Respicius Rwehumbiza, nimezungaka bookshops za karikoo nimekosa, na bookshops ambazo zimeorodheshwa upatikanaji ichi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu,,, nilikua naswali kidogo, kati ya kwenda chuo na kwenda advance kama private candidate..kipi ni bora?? Na je pc akifaulu vzur anapewa mkopo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu naamin mnaendelea salama...kuna tatizo moja linamkabiri mdogo wangu ambaye kwa sasa anasoma nnje ya nchi....alimaliza form six 2015 na matokeo hayakua mazuri sana so...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
eti nikiweka email kwenye maombi ya chuo tofat na niliyoombea mkopo mkopo akutakuwa na tatizo
0 Reactions
1 Replies
922 Views
Wadau Nina mdogo nataka nimpeleke hyo degree imekaaje kwa wanayo ifahamu vizur na soko lake la ajira
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hbr wana jf,naomba msaada kwa MTU mwenye mawasiliano ya TCU anipe no ht km nj ya MTU binafsi k.v mfanya kaz was hapo,napiga cm za mezan hazipojelewi,nataka wanitoe kwenye mfumo wao ili niombe upya,
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Nimemalza form six na kupata two ya 11 katk masomo ya arts History D geo D kiswhl C nlkuwa napenda kusoma sheria lakn naskia sheria wanachukua hgl na hkl na umri wa miaka 25 , IPI kozi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wandugu nahitaji methanol, naweza kuipata wapi kwa mkoa wa mbeya au mkoa wa songwe?
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Member heshima yenu jamani, Nahitaji kupata AVN kutoka NACTE ila mpaka sasa sijafanikiwa, nimefuata kama wanavyoelekeza katika link yao, naomba kwa aliye fanikiwa kwa mwaka 2019 au mwenye...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom