Hii iwaendee wale wote wanaohusika na jukumu zito la kuomba mkopo wa masomo katika bodi ya mkopo ya elimu ya juu.
Kwa maombi ya uhakika na zoezi lisilokuwa na mashaka niko hapa kwa ajili ya...
Naomba mwenye kuelewa course hii anifahamishe utaratibu wake chuoni na malipo yake na baada ya kumaliza mafunzo hayao unakuwa mwalimu wa shule zipi za msingi au sekondari, na vipi ugumu au urahisi...
Naandika makala haya kwa uchungu kabisa kutoka moyoni
Sababu kuu ni kitendo cha kunyimwa mkopo wa kuendelea na elimu ya chuo kikuu
Kwa kifupi alama zangu na pia kozi niliyochagua ina...
Chuo cha kilimo na mifugo Kaole Bagamoyo kimeanza kupokea maombi ya wanafunzi wanaotaka kujiunga na kozi mbalimbali za mifugo na kilimo kwa ngazi ya cheti,VETA na Diploma
Tunapokea wanafunzi...
Habari za asubuhi wakuu.
Nilikuwa naomba kuelewa kama kuna mtu ashawahi kufanya application za chuo nchini kenya kama Kenyatta university au vyuo vyengine kenya unipe utaratibu.
Maana nimetafuta...
Wana jamvi naomba msaada wenu kujua ni kozi gani na chuo gani kinaweza kumfaa mdogo wangu ambaye amemaliza form six mwaka huu na kupata alama zifuatazo.
1:Chemistry..........C...
Salamu Ndugu...? Hope mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku.
Serikali kwa ujumla kupitia wizara ya Elimu, wametoa mwongozo kwa shule zote za serikali na binafsi kuwasiliana kwa lugha...
Habari wana jf
Ninataka kufanya maombi ya kujiunga na chuo mwaka huu 2017/2018 kozi gani mzuri nichukue
Results Nilipata point 28 nina physics D, Chemistry D, Biology D, Geo D,kiswa D,Histo D...
Jamani naomba msaada wale waliomba mzumbe nimefanya admission nimefika step 3 academic qulification kila nikijaza index number ya form IV inagoma haitambui index no/year Je? Nakosea wapi?
Wakuu leo nimeshuhudia mamia ya waombaji mkopo ww elimu ya juu wakizunguka kila stationary,wakitaka kuweka taarifa zao kwenye portal ya olams lakini inashindikana.
Nimejaribu kuwasaidia baadhi...
Nimekuwa nikifuatilia hii kozi kipindi cha nyuma hakukuwa na chuo kinachotoa, ila mwaka jana UDSM walianzisha hii kozi lakini ni evening class, mwaka huu nika apply nikapata, naombeni msaada wa...
Habari
Kuna kijana amepata nafasi ya kwenda kusoma India kupitia mpango wa serikali ya India "Study In India " (SII) ambapo amepata udhamini wa 100% tuition fee waiver analipiwa, lakini gharama...
Jaman naomben msaada ushauri wa kuchagua coarse chuoni napenda nisome mambo ya web design na vinginevyo lakin cjajua kama soko la ajira liko vizuri sasa naomba msaada kwa wakongwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.