Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wajuz wa mambo naomba ufafanuz kwa hili. Mwaka Jana wakati kozi hii inaanzishwa muongozo ulidai kuwa mtu ukifaulu hii koz kwa GPA 3.0 unaweza kusoma Chuo chochote sasa naona TCU GUIDE BOOK...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu yenu NAOMBA mnishauri. Nina mdogo wangu amemaliza form six na kupata div Three (DEE -HGL). Lakini Olevel alipata DIV TWO, alisoma sayansi olevel kasoro physics. Kwa matokeo hayo naomba...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
ufaulu wangu ni 3, 22 bios,C,geo,C,chem,C,iCt,C,kisw,C,civic,C, phys,D,hist,D,Eng,D,matH,D nilichaguliwa uwalimu wa physic& bios but nahitaj kuchukua clinical medicine, naombeni ushuauli
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kupendekeza kigezo kipya cha kuzishindanisha shule kutokana na ufaulu wa mitihani ya NECTA. Kigezo kinachotumika sasa cha kuangalia GPA pekee kina mapungufu yafuatayo: Hakizingatii kwa...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Wakuu naombeni kuifahamu kozi tajwa hapo juu nifahamisheni; -- masomo yapi yanahitajika --chuo kizuri --Ajira zake nk
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana, Binti yangu kapata matokeo matokeo yafuatayo mtihani wa kidato cha sita 2019: Physics C Chemistry C Biology B Basic Applied Maths B General Studies D Naomba ushauri wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku ya kwanza Mwalimu wa Physics advance anaingia darasani (Mazengo secondary), anajitambulisha kwa jina anaitwa MKOMA. Anaongea mambo mengi ya kujenga na kuongeza ufaulu, anazungumzia Timed test...
6 Reactions
32 Replies
7K Views
Kumekuwa na kasumba kubwa ya watu kuvamia mchepuko wa PCB wakiwa na ndoto za kuwa madaktari kwa sababu mbali mbali kama Ajira nje nje Mikopo ilikuwa asilimia 100 Sifa za kuwa unasoma kozi ngumu...
11 Reactions
127 Replies
17K Views
Habari za asubuhi wakuu,ningependa kuwaletea shule zilizoongoza katika kila somo kwa utafiti nilioufanya kwa siku tatu hizi,ambapo mwanadada kutoka shule ya st.Mary mazinde juu (faith mtee),aibuka...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimepata divisheni ziro. Nimependa kujiunga kozi chuo. Ada nitajilipia mwenyewe. Mkopo sitaki. Kozi ina nafasi. Kwa nini nizuiliwe kujiunga na kozi ya digirii chuo? Nikienda chuo na ziro yangu...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
mambo yanabadilika sana. nilikuwa na CEE ya CBG ila nimeambiwa sipati chuo ngoja nitumie cha Diploma nina G.p.a yangu ya 3.0 kwa kweli kazi ipo!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimejitahidi kupitia matokeo ya shule nyingi hasa zile zilizofanya vizuri kaitaifa ktk masomo ya arts nimebaini mbali na kusifiwa kuwa zimefanya vizuri lakini hakuna ufaulu wa GRADE "A" Mfano...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wadau nataka mfahamu garama ya kusoma masters za social science au business courses open university bz nimeenda kwenye web yao hakuna wanapoomyesha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jamvi naomba msaada anayeifahamu iyo kozi tajwa hapo juu ubora,udhaifu na application zake kwa kujiajiri na kuajiriwa. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Gggg
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mwenye kujua aniaaidie vigezo vya kusoma open university degree mimi ni mhitimu wa diploma
2 Reactions
0 Replies
3K Views
1)eti kuna kitu inaitwa ordinary diploma in primary education? namaanisha huyu awe mwalimu wa msingi lakini awe na diploma. 2) ipi bora kati ya grade A na hiyo ODPE ? 3) vyuo vinavyotoa odinary...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habarini wakuu?natumai mu wazima.kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza.Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu,tahasusi ya HGL.ufaulu wangu ni division 2.10(DCC).nilikuwa namba mnishauri course...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
samahani kwa anayejua principal pass kwa mwaka huu (2019/2020) zinahesabiwaje na inaanzia ngapi mpaka ngapi naomba anijuze. A=?, B=?, C=?, D=? na kuendelea natanguliza shukrani
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Back
Top Bottom