Naomba kuuliza kuhusu wanafunzi walio pangiwa kwenda vyuo kwa mwaka huu,nahisi wengi wao wamepangiwa kwenda kusoma course ambazo hawaja panga kusomea katika maisha yao wengine wanaweza wakawa na...
Wasalaam wanajamvi.
Napenda kuwapongeza wanafunzi wote kwa hatua muhimu mliyofikia ya kumaliza vyuo,kidato cha sita na wengine mliokosa kuomba miaka iliyopita.
Natoa huduma ya kuomba mikopo...
Fikiria majibu ya F6 yametoka 11.07.2019 lakini TCU bado hawajaweka Admission Guidebooks hewani. Pia walifungua dirisha dogo kwa waombaji waliomaliza masomo miaka ya nyuma lakini hakukuwa na...
JAMANI MSAADA WA KIMAWAZO NIFANYEJE,NINAFANYA APPLICATION BUGANDO KWA LEVEL YA BACHELOR DEGREE LKN NIMEKUTANA NA CHAGAMOTO,MWANZO SYSTEM ILINAMBIA NIKO QUALIFIED FOR APPLICATION KWA JUMLA YA POINT...
Wanajukwaa habarini za jioni, kw heshima na tadhima naomba niangalizie vyuo kwa coz ya
1. Early Childhood edcn ktk mikoa ifuatayo
ARUSHA,DSM,MWANZA,tu.
2. HRM=MWANZA,ARUSHA,UDOM,tu
3...
Alfred Thompson Denning Facts
Lord Alfred Thompson Denning (1899-1999) was a Populist English judge whose career spanned 37 years
After one year at Oxford, Denning was called to military service...
Jmn mamboz, naomb kuuliza nina ndugu yangu kasoma VETA assistant lab sasa amemaliza ni vyuo gan au college gan zinatoa diploma yake tafadhali nisaidieni
Habari humu
Jamani nauliza kwa waombaji wa mikopo nimeskia issue ya kupita kwa wakili (kama sikosei) sijajua vizuri kwamba ni kuhakikiwa nini naombeni ufafanuzi tafadhali hili linanichanganya...
"Mwanangu sikwambii uache kusoma au uache kazi lakini ukikutana na Fursa nzuri usiiache kamwe."
"Mwanangu utamaliza Chuo baada ya Miaka 25..."
Jumla ya ada yako tangu unaanza shule mpaka...
Amani iwe kwenu wapendwa,
nilikuwa na malengo ya kuanza masomo yangu ya elimu ya chuo kikuu mwaka huu lakini kutokana na matokeo yangu na kuongezwa kwa alama za kujiunga na chuo kikuu nimekosa...
habari wana jamiiforums,
kwa wale waliomba hizi scholarships za MASTERS STUDIES IN EMBEDDED AND MOBILE SYSTEMS (EMoS) AT THE NELSON MANDELA AFRICAN INSTITUTE OF SCIENCE AND...
Kuna dogo wa shule ya msingi ameniuliza nimwabie kwa kingeleza swali lisemalo "niwangapi kuzaliwa?".Wakuu mm university student lakini nimebaki najiumauma simnajua tena lugha ya malkia hii...
Nimehitim kidato cha nne 2018 na nimechaguliwa combination ya CBG ,, na mm ndoto zangu ni kusoma PCB ,Je naweza kubadl combination nikifka shulen .... results
Phy _c
Bio_c
Chem_c
Math_d
Hist_c...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Naomba Alie wahi kuagiza gari kutoka nje ya nchi atupe muongozo.
Kuna jirani yangu baadae ya kujichanga siku nyingi ameamua aagizie range Rover...
Mimi ni kijana nina shahada ya Petroleum (Oil and Gas) Chemistry nimeamua kujitoa, nataka kufungua kiwanda cha kuzalisha mafuta ya diesel. Sasa nahitaji watalaam wengine kama mimi tuungane juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.