Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habarin ni matumaini yangu kua wazima .Ninahitaji kupata msaada mimi ni muhitim wa bachelor ya education katika mizunguko yangu nmepata nafasi ya kwenda kusoma masters china lakin katika kozi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya dirisha la maombi kufunguliwa mnamo july mosi 2019. Milango iko wazi kwa yeyote atakayehitaji kusaidiwa kufanya maombi hayo akiwa mahala popote pale. mawasiliano ni 0789 805 698...
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Hii ndiyo orodha ya vyuo vinavayotambulika serikalini. Vyuovisivyokuwemo katika orodha hii ni feki, hivyo jamii inatahadharishwa kuwa makini. Baadhi ya vyuo vinavyosimamiwa na VETA vimekuwa...
1 Reactions
9 Replies
83K Views
Habar za humu ndani wakuu.... hiv ukiambiwa kigezo cha kusoma bachelor ya artechture ( UDSM ) wameandka lazima uwe na "two principal pass in chemistry,biology,physics,geography,or fine arts...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeshakamilisha process zote hadi kusubmit form za kumbea mkopo online but kuwenye kipengele cha kuprint information zangu full package nikiclick inakuja blank webpage, nini chakufanya ili...
0 Reactions
1 Replies
451 Views
wakuu habari nlikua naomba mwenyewe joining instruction ya Tanzania public service collage -TABORA course ni BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN SECRETARIAL STUDIES chuo kipo tabora.
1 Reactions
2 Replies
39K Views
Kwa mwenye diploma ya early childhood N.T.A level 6 anaweza kuendelea na bachelor zipi ukiacha ya early childhood?
0 Reactions
6 Replies
802 Views
habari za Leo wanajamii naombeni kuuliza kuhusu udahili wa vyuo vya ualimu katka ngazi ya diploma na certificate bado au tiyari?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninaye rafiki zangu wamechaguliwa geomatic na geoinformatics ardhi university je hizi kozi ndo zikoje,zinahusika na nini,wanaajiriwa WAP,je mkopa wanapataga na je ugumu au urahisi wake ukoje...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Nimemaliza kidato cha 6, nahitaji udhamini wa kimasomo. Nahitaji kusoma diploma in clinical officing.. Ufaulu wangu ni Biology-C Chemistry-C Physics-C Basic applied mathematics-B General studies-D
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Mwanzo nlikua nalogin kwa account ile ile ya mwaka jana lakn tangu imeanza application inakataa kulogin sijui tatzo nn
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Natafuta mtu anaweza kuniandikia business plan ya uhakika kabisa Naomba unitafute pm na maelezo mengine yatapatikana huko Thanks in advance
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye topiki... Ninafikiria kujiunga na kusoma Law School of Tanzania. Hata hivyo nilikuwa na uhaba kidogo kifedha hivyo ninafikiria kuomba mkopo kutoka Bodi ya Mikopo. Je, Bodi ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana Jf naomba kuuliza jamani hv kwa wale walio maliza,kidato cha nne na kuchaguliwa moja kwa moja kwenda chuo kuna uwezekano wa kupata mkopo ASANTEN PIA NATEGEMEA MAJIBU MAZURI [emoji120]...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ningependa kufahamiswa kuhusu suala la uhakiki,kabla rita system haija collapse kuna wale ambao tulishahakiki na nakala zetu za vyeti tulipata. Je baada ya system yao kuharibika je na sisi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu habari zenu.kwa wale mliofanikiwa kutuma uhakiki wa vyeti RITA.mimi nna kama week 2 nmetuma vyeti.lkn cha ajabu nkingia kwenye account yangu inaandka no record found ila wakat natuma...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
habari zenu wadau natumaini wote muwazima you mwenye kuifahamu shule ya white lake anieleze bei zake,ufaulu wake Na mengine nnayotakiwa kuyajua kabla sijajiunga pale
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kwema, anaesoma bachelor tajwa hapo juu tujuane tafadhari, ikiwezekana aje inbox tuyajenge zaidi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom