Samahani Wakuu nmechaguliwa kujiunga na chuo hicho cha tpst tanga,kwa yeyote anae jua mazingira,ya chuo,anisaidie na je ni vyema nkae hostel au nkapange geto tu MASAADA JAMANI [emoji120] [emoji120]
Habari za Jumapili wana jamvi..
Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi juu ya hili. Nataka nisome Diploma ya Clinical medicine mwaka wa masomo 2019/2020 na vigezo vyote vilivyopo kwenye Nacte quide...
Habari wana Jf,kwa mwenye uelewa juu ya degree tajwa hapo juu,vipi market yake baada ya kuhitimu,na kazi zake ni maeneo gani...natamani mdogo wangu asome lakini mimi siifahamu,msaada tafadhari...
Naomba kuambiwa chuo hicho kipo sehemu gani na kama ikiwezekana naomba contact nimejaribu kwny internet sijapata.. pia mwenye kujua mazingira yake yapoje anijuze tafadhali,mazngira yake ya...
Habari wadau wa humu,
Tuambiane ukweli tu Tatizo la ajira lipo ila tatizo la jira linaweza kuwa baya zaidi endapo msaka ajira atachagua na kusoma kozi ambayo haina soko kwa wakati husika ama...
Kama ingetokea siku zimerudi nyumaaa na mimi natakiwa kuapply kozi ya kusomaa chuo haswaa kwa upande wa engineering basii ningechagua hii Geomatics/Surveying Engineering ...ilaaa ts too late. ...
Nimeingia kwenye online application system ya IFM na kutengeneza account lakini baada ya kumaliza kutengeneza nikapewa option ya ku-login ili niendelee lakini kila nikijaribu kulogin...
Naomba ushauri wale ambao mlishapitia nianze na masomo gani,nataka kufanya Mawili November
Maana naambiwaga hii ligi kama hujajipanga hutoboi
Naombeni na technic za kusoma pia toka nimehitimu...
Baada ya muoongozo wa maombi ya mkopo kutolewa na Bodi na hatimaye dirisha kufunguliwa.
Sasa Ile huduma ya kusaidiana kufanya maombi ya mkopo imerudi
mlango upo wazi kwa wanafunzi na wazazi...
kwa wale ambao walipita UDSM miaka michache iliopita naamini wanamfaamu vizuri huyo jamaa kwani kwa somo la communication skills (CL) ni lazima usome regardless unasoma nini,duh jamaa alikua...
Hv jaman serikalini wameanzisha Elimu ya awali na waalimu waliosomea hzo fani hakuna kwa nn wasingewaajiri hata waliosoma private wawasaidie watoto jaman
Salaam wanajamvi. Nilijifungua kwa operation wiki4 zilizopita (ya mlalo chini) ila mpaka leo bado hapajafunga japo hapaumi, wiki hii kuna sehemu palikuwa panatoa maji kidogo sana ila tangu jana...
Wakuu habari,
Ninae mdogo wangu kamaliza form 4 kafaulu kiasi, Serekali imemchagua akasomee ualimu Ila mi napenda aende A level michepuo ya PCB au CBG. Naomba mwenye anajua shule za private za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.