iv huu ndo utaratibu gani kila chuo mwaka huu kina application fee yake kwa wale wanaoomba bachelor degree,CUHAS[bugando] application fee Tsh 30000,kcmuco[kcmc] application fee Tsh 50000,MUHAS...
Nimeandaa notes za physical chemistry kwa ajili ya kidato cha tano na sita kwa kushirikiana na wenzangu tuliomaliza nao chuo kikuu cha Dar es salaam. Bahati nzuri kazi hii imepitiwa na idara ya...
naomba kuuliza alfa gemz wamesha anza udahili wa watahiniwa wa kidato cha 5 kwa muhula wa masomo wa 2019/2020?
na je, ada yao kwa mwaka huu ni sh. ngapi???
na je, wana dahili wanafunzi wa comb za EGM?
Dewji received his primary education in Arusha at the Arusha Primary School and continued his secondary education at the International School of Tanganyika (IST) in Dar es Salaam, Tanzania.[10]
In...
Habari zenu wana jamiiforum, nimepangiwa shule ya sekondari Budalabujiga, iko H/shauri ya wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, anaeifahamu pleaae naomba anijulishe kuhusu usafiri kutokea Dar...
Igweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote
Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo
Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya...
Kwenye online application system ya udsm postgraduate ucourses nimekamilisha kila kitu na kuambatanisha kila kitu zikiwemo data na emails za referees. Tatizo, email za udsm zenye referees' forms...
Wakuu naomba kufahamishwa kama kweli uhamisho kwa waalimu umefunguliwa maana kuna mtu anasema eti toka hii June mosi 2019 wameruhusu mauhamisho ni ya kweli haya?
Wadau wa NECTA toeni ufafanuzi
Nimepata taharifa kutoka kwa mwanafunzi 1 ratiba mpya ya necta kidato cha4 2019,hawajaweka somo la elimu ya dini ya kiislamu pepa na2.
Hii ni utaratibu mpya au? Km...
Nimejaribu kupitia mwongozo wa Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nkaona ili shirika kwamba kama unatoka familia ya kimaskin yan iwezo wa chini basi uambatanishe namba ya TASAF naomba kwa anaejua...
JOKAMEDIATZ ONLINE CAFE
Kwa wahitimu wa kidato cha sita pamoja na diploma
Jokamediatz ni mtandao wa wanafunzi unaowaunganisha wanafunzi wa vyuo vyote tanzania.
Pia Jokamediatz inawasaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.