Wadau kama mada ilivo hapo juu,nikiingia nacte katika application online nakutana na category moja tu ya HEALTH AND ALLIED SCIENCE sasa vipi kwa zile kozi zingine tofauti na hio naweza apply...
Tangu kilipoanzishwa tu kimekua na changamoto nyingi zikiwepo usajili na kutofata utaratibu wa Tanzania.
Kwa waliomaliza 2013 rudi nyuma hawatoi transcript.
Baadhi ya couruse zao hazitambuliki...
Microsoft Excel ni Program ya kimahesabu inayotumika kuhifadhi data katika muundo wa nambari, maneno, grafu na chati. Microsoft Excel inatumika katika makampuni biashara na katika taasisi...
Habari wanajukwaa
Nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano(5yrs) kutokana na pilika pilika zangu za kibiashara kutotulia sehemu moja,je umri wake unafaa kumpeleka shule ya boarding...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima.
naomba msaada Kwa anae jua wapi ninaweza kununua Kitabu cha THINK AND GROW RICH.
itapendeza mkinipa na bei yake.
Wakuu samahan kwa usumbufu Je inawezekana nikahamisha mkopo wangu kutoka bachelor kwenda diploma? Maana nilipata kozi ya bachelor lakin Naona haitanisaidia mbeleni hvyo nahtaji kurudi nianze...
Anae kijua chuo cha TANZANIA PUBLIC SERVICE CAMPUS YA TANGA Naomba anisaidie kujua mazingira yake ya shule na mazingira ya hostel plz msaana nko serious sana.
Karibuni vijana wote mnaotaka kuomba vyuo mwaka huu.
Kuwa free kuuliza chochote kile kuhusu fani unayotaka kusomea wapo wajuzi wengi humo JF wa kila fani.
Hizo chini ni Guidebook zitakazokuongoza...
Habari wakuu?
Niende kwenye mada,
Hivi form six aliyesoma HGE chuo kikuu atasoma coz gani?
Natanguliza shukurani zangu kwenu maana nategemea kupata majibu mazuri.
habari zenu wadau natumaini wote muwazima you mwenye kuifahamu shule ya African schools iliyopo tabata anieleze bei zake,ufaulu wake Na mengine nnayotakiwa kuyajua kabla sijajiunga pale
Wakuu naomba msaada nimefungua account ya maombi sua nimefuata taratibu zote wakanipa control number nikalipia.
Baada ya hapo nika log in lakini ile dashboard inasoma 2018/2019 sasa naomba...
HABARI WANA JUKWAA, POLENI NA MAJUKUMU!!
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha nne mwaka huu 2017, dhumuni la thread hii ni kuwa naomba kujua jinsi mitihani ya taifa ya kidato cha nne inavyosahihishwa...
Poleni na majukumu Wana jukwaa.
Nahitaji ushauri jaman nimemaliza form six pcb mwaka jana matokeo yako hivi
P-E
C-D
B-C
Mawazo yangu yalikuwa nikasome biotechnology & laboratory science lakin...
Msaada wakubwa zangu. Mdogo wangu yupo darasa la saba wa miaka kumi na mbili ana uwezo mkubwa lakini nahisi umri wake ndio tatizo maana hafanyi vizuri sana. Je inawezekana?na kuna gharama yoyote?
Mimi ni Mwalimu wa ngazi ya stashahada, mitihani wa kidato cha sita nilipata daraja la tatu yaani division 3 ya point 15, sasa kwa hali ya sasa ni kwamba siwezi kupata nafasi wakati nina principle...
[emoji456][emoji456]
[emoji871] *SHULE YA SEKONDARI YA ST.MATTHEW DAR ES SALAAM WAMETANGAZA NAFASI ZA KAZI ZA WALIMU WA MASOMO YAFUATAYO*
[emoji736]Basic mathematics
[emoji736] Pure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.